Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,446
- 14,880
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] HENRY14 siku hizi na wewe umeshakua na kaumasingeli flani hivi ka kiwaki.Yeah
Haya hebu vuta picha Madrid anawatoa kwenye hio machuano, kisha Forest, City na Chelsea wanamaliza ligi juu yenu mnaikosa top4, halafu mbaya zaidi Man Utd kwa papatu papatu anabeba Europa na kufanikiwa moja kwa moja kushiriki Uefa msimu ujao, unafikiri hali itakuaje kwenye hili jukwaa la wapenzi wasindikizaji.