Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tutaonana tarehe 29/8 ,Msikimbie mabingwa watarajiwa
 
Mzee mzima alitaka wapumzike ili next week wawe fresh kwa ajili ya muziki wa Celtic Jumanne na Man U Jumamosi. Hongera Professor Wenger na trupu zima la 'ze gannaz'.

Mkuu, bora Eboue kuliko Sagna in my opinion.

He can penetrate defence, Sagna yeye hupiga mi-cross ambayo either mikubwa, inagaonga watu au haina macho.

Eboue anakaba, Sagna anarudi nyuma anapokabiliana na mshambuliaji.
 
wote wawili wana kasoro zao na kwa sasa kila mtu yuko powa kwenye namba yake aliopewa.sagna mzuri zaidi beki kuliko eboue tatizo ni hilo cross zake mbovu nashangaa wenger mpaka leo bado aja mpa mazoezi ya cross.eboue mwendawazimu na pale winger panamfaa sana kwani anakaba na pia anasaidia kuhold mpira na kupenetrate kama ulivyosema sema the boy got a very poor decision with his final ball.eboue anapotakiwa kutoa pasi atapiga shuti la ajabu na anapokuwa na nafasi ya kupiga shuti atatoa pasi ya ajabu hata kama mtu kabanwa.
 
Naona watani mmeamua kumpumzisha Fabregas kesho kwa ajili ya jumamosi enh.
 
Wadau,

Ni channel gani ya kibongo itaonyesha hii game?

Channel yenye uwezekano wa kuonyesha ni TBC1 pekee, tatizo nao hawaeleweki.....huwa wanaonyesha baadhi ya mechi fulani tu.....pengine hii nayo wataonyesha...!
 
Channel yenye uwezekano wa kuonyesha ni TBC1 pekee, tatizo nao hawaeleweki.....huwa wanaonyesha baadhi ya mechi fulani tu.....pengine hii nayo wataonyesha...!

Thanks Mkuu ngoja tavizia vizia TBC1
 
Wadau,

Ni channel gani ya kibongo itaonyesha hii game?

...wakuu huko nyumbani hamtaki nini kumpatia Shadow channel itayoonyesha hii game?

...haya tena bazee, dakika ndio zimekaribia... wale waliotumwa kukwanga wajue kwa barka za mwezi mtukufu huu, madua yao hayana nguvu. ...Ni;

ARSENAL

Vs

CELTIC
 
Oooh My God! That was the dive of the century by Eduardo! At this rate we won't miss Ronaldo!
 
...ebana ee, kwani umelazimishwa ututembelee?

Aisee Anopheles oh sorry mosquito... sorry again, MBU!!! Mbona mnakuwa defensive mapema hivi hata january bado!!! Jamaa kauliza tu penati imepatikanaje??

Nilichoona mimi ni kwamba kuna diving competition between a few players... but its a good game and for sure Eduardo scored a fantastic penalty, soon after a fantastic dive

Go Arses Go... The Bean himself is enjoying a game
 
...ebana ee, kwani umelazimishwa ututembelee?

kwani shida iko wapi mkuu? kama arsenal wanajiangusha tukae kimya?! Au tujifanye "Wenger" tuseme hatujaona?! Hapakuwa na haja ya Eduardo kudive wakati mechi mlishashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…