Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee mzima alitaka wapumzike ili next week wawe fresh kwa ajili ya muziki wa Celtic Jumanne na Man U Jumamosi. Hongera Professor Wenger na trupu zima la 'ze gannaz'.
Hakimbii mtu aisee..Tunawasubiri hiyo tarehe 29/8 Mabingwa wateteziTutaonana tarehe 29/8 ,Msikimbie mabingwa watarajiwa
Tutaonana tarehe 29/8 ,Msikimbie mabingwa watarajiwa
wote wawili wana kasoro zao na kwa sasa kila mtu yuko powa kwenye namba yake aliopewa.sagna mzuri zaidi beki kuliko eboue tatizo ni hilo cross zake mbovu nashangaa wenger mpaka leo bado aja mpa mazoezi ya cross.eboue mwendawazimu na pale winger panamfaa sana kwani anakaba na pia anasaidia kuhold mpira na kupenetrate kama ulivyosema sema the boy got a very poor decision with his final ball.eboue anapotakiwa kutoa pasi atapiga shuti la ajabu na anapokuwa na nafasi ya kupiga shuti atatoa pasi ya ajabu hata kama mtu kabanwa.Mkuu, bora Eboue kuliko Sagna in my opinion.
He can penetrate defence, Sagna yeye hupiga mi-cross ambayo either mikubwa, inagaonga watu au haina macho.
Eboue anakaba, Sagna anarudi nyuma anapokabiliana na mshambuliaji.
Wadau,
Ni channel gani ya kibongo itaonyesha hii game?
Channel yenye uwezekano wa kuonyesha ni TBC1 pekee, tatizo nao hawaeleweki.....huwa wanaonyesha baadhi ya mechi fulani tu.....pengine hii nayo wataonyesha...!
Naona watani mmeamua kumpumzisha Fabregas kesho kwa ajili ya jumamosi enh.
Wadau,
Ni channel gani ya kibongo itaonyesha hii game?
...wakuu huko nyumbani hamtaki nini kumpatia Shadow channel itayoonyesha hii game?
...haya tena bazee, dakika ndio zimekaribia... wale waliotumwa kukwanga wajue kwa barka za mwezi mtukufu huu, madua yao hayana nguvu. ...Ni;
ARSENAL
Vs
CELTIC
Karibu..Tushawachapa jamaa goli moja,Eduardo kafunga kwa penaltyHodi hodi hapa Emirates
Karibu..Tushawachapa jamaa goli moja,Eduardo kafunga kwa penalty
Hodi hodi hapa Emirates
Oooh My God! That was the dive of the century by Eduardo! At this rate we won't miss Ronaldo!
Mbona Arsenal wanajiangusha sana mpaka inaboa!
...ebana ee, kwani umelazimishwa ututembelee?
...ebana ee, kwani umelazimishwa ututembelee?