BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Nilisikia Football analysts katika kipindi kingine wakidai kwamba AW hana fungu la kutosha la kusajili wachezaji wazuri mwezi ujao wa kuisaidia timu msimu huu. Wanadai anaweza kusajili wachezaji ambao hawatakuwa na impact kubwa maana pochi la AW ni jembamba, labda kuumia kwa Fabregas kunaweza kuwa sababu nzuri ya kuongeza pochi la usajili.