Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilisikia Football analysts katika kipindi kingine wakidai kwamba AW hana fungu la kutosha la kusajili wachezaji wazuri mwezi ujao wa kuisaidia timu msimu huu. Wanadai anaweza kusajili wachezaji ambao hawatakuwa na impact kubwa maana pochi la AW ni jembamba, labda kuumia kwa Fabregas kunaweza kuwa sababu nzuri ya kuongeza pochi la usajili.
 
I think Adebayor at least deserves AT LEAST a yellow card, however ni utashi wa refa ambao angeutumia kwa kumlinda Adebayor as much as alikuwa na yellow card, mind u ilikuwa faulo yake ya kwanza baada ya kupewa yellow kadi.... plus the fact that ile ilikuwa game kubwa,kadi kama ile ingeharibu (iliharibu), radha ya mpira kabisa!

Big blow kwenu kama kweli Fab atakuwa nje kwa at least week nane, na ukichangia Gallas wants to leave dirisha dogo, what do you expect?
 
Nilisikia Football analysts katika kipindi kingine wakidai kwamba AW hana fungu la kutosha la kusajili wachezaji wazuri mwezi ujao wa kuisaidia timu msimu huu. Wanadai anaweza kusajili wachezaji ambao hawatakuwa na impact kubwa maana pochi la AW ni jembamba, labda kuumia kwa Fabregas kunaweza kuwa sababu nzuri ya kuongeza pochi la usajili.
Mkuu BAK just last month Peter Hill-Wood alisema on Arsenal TV, kwamba 'Arsene has certain huge amount of money to spend on player' nilisoma katika moja ya arsenal blog kwamba Wenger sit on £50-70 million transfer money, vilevile kama Diara atauzwa Madrid tuna kifungu cha 25% ya hio biashara, matatizo ya wenger ana operate kama Economist rather than football Manager, kabla ya kununua mchezaji anafikiria kiasi gani anaweza kumuuza iwapo hato-fit na ndio maana hanunui wachezaji ambao umri umetangulia.
Ukiangalia tunahitaji si chini ya wachezaji wanne at least one central defender, 2 midfields na 1 striker, wachezaji wenye uzoefu na EPL (quality players) tayari wako involved katika Champion League lakini still kuna available players kama Owen, Zaki, A.Young, Alex (Chelsea) lakini Wenger atakwambia akina Zaki ni wakubwa? Kuna rumours zimeenea kwamba tutasajili Rubery na Ashavin lakini kusajili mchezaji nje ya EPL in January ni kutia mkono gizani, kwa vile ni katikati ya Season na wachezaji wanahitaji muda ku-adapt. Acha tuone Wenger atafanya nini.
 
... matatizo ya wenger ana operate kama Economist rather than football Manager, kabla ya kununua mchezaji anafikiria kiasi gani anaweza kumuuza iwapo hato-fit na ndio maana hanunui wachezaji ambao umri umetangulia...

...ndugu yangu, kuna tetesi Nicklas Bendtner anauzwa kwa £ 5m (tu!), ilhali ni current Danish national team leading goal scorer, na ndio kwanza yupo kwenye 20's! Huyu 'mchumi' wenger anatumia theory gani za uchumi? au ndio Recession kuelekea Deflation?
 
Jana kusngekuwa na ule uonevu wa red ya Adebayor na kapteni wetu Fab asingeumia, hakyani tungemchapa Liverpool!
 
Mbona kamsajili Silvestre na keshazeeka then Flamini kauzwa buree
Silverstre bei karibu na bure £700,000 timu ina uhaba wa walinzi plus kutokana kwamba ana experience bei hio sawa na bure, Flamini kalazimisha Move yake alikuwa mwishoni mwa contract, offer ya mshahara mnono Milan ndio ilopelekea auzwe, Wenger alimpa offer mpya ya £50 grand pw, Milan walimuahidi double ya hiyo alfu hamsini.
 
Jana kusngekuwa na ule uonevu wa red ya Adebayor na kapteni wetu Fab asingeumia, hakyani tungemchapa Liverpool!
Unasahau kwamba ushindi unaambatana na matukio yote ya uwanjani? Sukrani kwa kuwavuta Liva mkia, then Everton nae kasaidia kwa ze bluz.
Hivi Benitez mchawi ehh...kila wakitoa droo basi inafuatiwa na droo za top 4 zote.
 
Fabregas ruled out for up to four months

Cesc Fabregas will be out for "three to four months" after suffering a serious knee injury against Liverpool on Sunday.

The Arsenal captain was hurt in a challenge with Liverpool's Xabi Alonso at Emirates Stadium and hobbled off the pitch at half-time. Arsène Wenger hoped Fabregas' spell on the sidelines would be limited to a matter of weeks but his worst fears were realised after the Spaniard went for a scan on Monday.

"The news is not good because it is a partial rupture of the medial knee ligament which is taking three to four months injury time," revealed Wenger at his pre-match press conference. "We count four, we know he will be working very hard to come back earlier but I count four months.

...nadhani inabidi AW amsajili huyo XABI ALONSO... ama avunje mikoba amsajili GARETH BARRY
 
Silverstre bei karibu na bure £700,000 timu ina uhaba wa walinzi plus kutokana kwamba ana experience bei hio sawa na bure, Flamini kalazimisha Move yake alikuwa mwishoni mwa contract, offer ya mshahara mnono Milan ndio ilopelekea auzwe, Wenger alimpa offer mpya ya £50 grand pw, Milan walimuahidi double ya hiyo alfu hamsini.
Yani timu ina uhaba wa mabeki then unamsajili Silvestre,reason ni kuwa Silvestre ni Mfaransa mwenzie
Huyo Mzee anashindwa kuwahold key players

Poleni sana kwa kuumia kwa Fabrigas labda mzee anaweza kununua mchezaji
 
Kuumia kwa Fabregas ni pigo kubwa kwa Arsenal na AW hana ujanja inabidi asajili wachezaji wapya angalau watatu akiwemo mchezaji mwenye uwezo wa kuziona nyavu, maana kufunga magoli sasa hivi imekuwa ni shida kubwa mno.

Fabregas faces four-month lay-off

Fabregas took over as Arsenal captain last month
Arsenal captain Cesc Fabregas has been ruled out for up to four months after rupturing knee ligaments in Sunday's Premier League draw with Liverpool.

The 21-year-old Spanish midfielder suffered the injury going for a 50-50 challenge with compatriot Xabi Alonso.

Gunners boss Arsene Wenger admitted he could now make a move for new players in the January transfer window.

"It is more likely but we also have internal solutions and we are not desperate," said Wenger.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~**~*~*~*~*

No AW you don't have internal solution to fill Fabregas' gap, you need to make a move NOW in order to sign new players during January's transfer window.
 
Cesc Fabregas

Cesc Fabregas will be out for "three to four months" after suffering a serious knee injury against Liverpool on Sunday. The Arsenal captain was hurt in a challenge with Liverpool's Xabi Alonso at Emirates Stadium and hobbled off the pitch at half-time. Arsène Wenger hoped Fabregas' spell on the sidelines would be limited to a matter of weeks but his worst fears were realised after the Spaniard went for a scan on Monday.

Tomas Rosicky

Tomas Rosicky will be back in March "at the earliest". The Czech midfielder was last seen in an Arsenal shirt on January 26 when he hobbled off after nine minutes of the FA Cup tie with Newcastle at Emirates Stadium. The problem turned out to be his hamstring tendon and, according to Arsène Wenger, "the recovery period was slower than expected". Rosicky underwent revision surgery in Germany in November but it will be well into the New Year before the 27-year-old plays again. "He's doing rehab at the moment," said Wenger. "He's back here on December 17 and then hopefully we can start to work with him. But it's a long-term prospect - maybe March at the earliest."

Theo Walcott

The winger dislocated his shoulder during an England training session on Tuesday November 18 and will not play until next year. However, reports that his injury could blight the rest of Walcott's career appear to be wide of the mark. "Theo had a dislocated shoulder and he had surgery. He will be out three months," confirmed Wenger

...miti yote inateleza wajameni,...🙁
 
Mwaka huu umekuwa na mikosi kwetu, ukiangalia timu ya mwaka jana karibu yote haipo! wachezaji ni majeruhi ama wamehama! wamebaki Sagna,Clichy,Gallas na Ade Tukifanikiwa kumaliza season hii walau nafasi ya nne naona tutachinja mbuzi.
Hii ndio malipo ya kutandaza soka safi la kiufundi kwenye EPL, na ndio ukaona sir Alex anakuwa mkali sana kumpa protection Ronaldo ili akina Mark Taylor wapunguze kumkanyaga. Sishangai kwa nini wachezaji wa Arsenal wanaongoza kwa majeruhi?
 
Kuumia kwa Fabregas ni pigo kubwa kwa Arsenal na AW hana ujanja inabidi asajili wachezaji wapya angalau watatu akiwemo mchezaji mwenye uwezo wa kuziona nyavu, maana kufunga magoli sasa hivi imekuwa ni shida kubwa mno.

Gunners boss Arsene Wenger admitted he could now make a move for new players in the January transfer window.

"It is more likely but we also have internal solutions and we are not desperate," said Wenger.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~**~*~*~*~*

No AW you don't have internal solution to fill Fabregas' gap, you need to make a move NOW in order to sign new players during January's transfer window.

BAK nakubaliana na wewe 200%, Eti we also have internal solution? Ooh please Mr. Wenger give us a break!! What solution? Wilshere and Ramsey?Sote tunajua kwamba Cesc alikuwa peke yake safu ya viungo, Denilson, Diaby na Song wameshindwa kuziba mapengo ya Flamini, Hleb na Rosicky.
Tulitegemea January asajiliwe angalau kiungo mmoja makini kama Alonso amsaidie Cesc, Sasa itabidi Mzee Wenger avunje desturi yake ya ubahili atupatie viungo wawili Alonso na Elano, Centre Back alau 1 kama Alex au Upson na Striker 1 kama Santa Cruz ama Zaki, venginevyo nafasi ya nne hakuna na bila ya CL games tutegemee Exodous msimu ujao.
 
...thubutu yake, Wenger amrudishe tena Upson kundini? no way, wenger ana jeuri ya kutoyarudia matapishi. BTW , Upson alipokuwa Arsenal naye alikuwa majeruhi 'wa kudumu,'

Internal solution ya midfield; Eboue-Diaby-Denilson-Song! ...pheeeeewww! kijasho chembamba kinanitoka. Anyway, labda ndio wakati wa Ramsey-wilshere-Randall kuonyesha wame mature kwa kiwango gani.

Arshvin naye sijui anakuja?... pengo la Gallas sijui mluga luga gani atakuja ziba, almuradi naona team ipo ndivyo sivyo, na Aston Villa waleeee wanakata mbuga kwenye 3rd spot!
 
Ila Wenger mbishi duuu! Utafikiria jamaa mfupi, ila ukimwona bonge ya giant lol!!
Man City wanamtaka Toure. Noma noma!! Maana akiondoka january huyo dogo aliyecheza juzi na Gallas huwa anapwaya kichizi. Aint lookin' gud. All of a sudden we miss Senderos!!
 
...hell no! Senderos alikuwa anamfanya Drogba 'mfungaji mtarajiwa' kila siku Arsenal Vs Chelsea...

I dont miss that guy at all, yule namfananisha na Pascal Cygal tu, 'mentally blocked,' clueless! halafu wote hao wawili walikuwa na bahati kweli ya kujifunga!

...bado sijapata jibu kwanini Toure ame drop sana. Kabla ya Gallas alikuwa Centre half ya uhakika, baada ya kuondoka Sol Campbell.

Miaka nenda rudi, solid defence ya Arsenal ilikuwa chini ya waingereza, kina Keown, Winterburn, Tony Adams, Lee Dixon, Sol Campbell,

... nadhani AW arudi kwenye drawing board, kuwa recruit the likes of Micah Richards, Glenn Johnson, Jonathan Woodgate, nk.... wakati tukiomboleza ressurection of Mathew Upson!
 
Micah Richards!? Sidhani kama Man City watamuachia huyo. Kama sikosei Toure alitonesha hamstring wakati akichezea timu ya Taifa lake sijui kama ameshakuwa fit ya kuweza kucheza, lakini nadhani akipata nafasi ya kuondoka hatasita kufanya hivyo maana AW alianza kumuweka bench hata kabla hajaumia. Inaelekea hakuna anayeutaka ubingwa mwaka huu. L'pool walipata nafasi nzuri ya kuongeza gap kati yake na Chelsea na MANU lakini hawakutumia vizuri nafasi hiyo. Chelsea wakapata nafasi ya kurudi kileleni lakini almanusra wapoteze mchezo ule. MANU mwaka huu si wazuri kama walivyokuwa mwaka jana. Tusubiri ngwe ya pili labda itajitokeza timu ambayo itafanya juhudi zote uwanjani ili kuibuka kidedea hapo mwezi May.
 
Vipi kunafukuta uko ndani?

Russian billionaire Alisher Usmanov wants a number of questions answered over the boardroom upheaval at Arsenal following the exit of Lady Nina Bracewell-Smith.

Usmanov, a major shareholder with the Emirates club, has also denied he is set to increase his 24% stake by purchasing Lady Bracewell-Smith's holding of just under 16%.

Lady Bracewell-Smith left the north London club last week and has since hit out at her "appalling" treatment.

Usmanov has expressed his disquiet and is now awaiting answers from his London-based partner Farhad Moshiri who is ascertaining the reason behind the "sharp changes" at the club.

Usmanov told The Guardian: "What has happened in the last year poses questions.

"When in the space of a year four members of the board of directors are sacked, when the general director whom everybody had praised is changed, we consider that to be a huge matter - just to sack a major shareholder (Lady Bracewell-Smith) without explanation.

"Mr Moshiri is now in London and is trying to find out the reasons for these sharp changes and according to what explanation we get, we will decide our strategy."

The Uzbek metals magnate bought into Arsenal when he paid former vice-chairman David Dein around £75million for his 14.65% stake in April 2007.

Despite concerns, Usmanov denies he is about to buy Lady Bracewell-Smith's stake.

"I have not held any negotiations with her about a purchase.

"I haven't seen her and so far she has not announced that she wants to sell.

"There is no point in discussing something that doesn't exist."
 
Wenger amchangamkie Elano kule ManCity anakula benchi au avunje benki amsajili GBarry
Striker yuko Santa Cruz ameshasema anataka kucheza timu kubwa
Senderous ni wa kuuzwa kabisa alikuwa anampa Drogba magoli kila game na Chelsea
 
Back
Top Bottom