Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...hakuna manager 'wa maisha',

...mwenzie Sir Alex Fergie kuna msimu ulimkalia vibaya nusura mashabiki wamkate shingo, akatangaza anaomba mwaka mmoja zaidi baada ya ku retire... matokeo yake amejenga kikosi imara, chenye wachezaji chipukizi na wakongwe...

...huyu AW yeye anabahati washabiki wa Arsenal ni wastahmilivu, lakini sasa ustahmilivu unaanza kutushinda,...nadhani uliona Board ilipompa ultimatum; "finishing outside top four is a failure", haraka haraka akamnunua Arshavin!

Timu haijengwi na chipukizi peke yake, lazima kuwe experience pia, wachezaji kama Pires, Gilberto, ...nk

It was a big big big mistake kumwachia FLAMINI aondoke kwa kukataa kumlipa tofauti ya £5,000 tu!

Haya, yalopita si ndwele,...tutange yajayo!

Kwanza you are right yaliyopita tuyaache!..

Kwahiyo AW anakuwa kama mchumi au nini?Fweza kama zipo si kununua vifaa bora kama ulivyosema chipukizi lazima wachanganyike na wazoefu..

All in all, tusubiri breaking news!..Mfaransa yule,Emirates watamiss kama ataondoshwa na kweli washabiki wavumilivu hawakuwa na kelele za kutishaa!
 
Sweet pokea simu achana na soccer 3-1 you can not change anything...wape ushauri nasaha tu hao!
 
...hakuna manager 'wa maisha',

...mwenzie Sir Alex Fergie kuna msimu ulimkalia vibaya nusura mashabiki wamkate shingo, akatangaza anaomba mwaka mmoja zaidi baada ya ku retire... matokeo yake amejenga kikosi imara, chenye wachezaji chipukizi na wakongwe...

...huyu AW yeye anabahati washabiki wa Arsenal ni wastahmilivu, lakini sasa ustahmilivu unaanza kutushinda,...nadhani uliona Board ilipompa ultimatum; "finishing outside top four is a failure", haraka haraka akamnunua Arshavin!

Timu haijengwi na chipukizi peke yake, lazima kuwe experience pia, wachezaji kama Pires, Gilberto, ...nk

It was a big big big mistake kumwachia FLAMINI aondoke kwa kukataa kumlipa tofauti ya £5,000 tu!

Haya, yalopita si ndwele,...tutange yajayo!

Mzee Mbu pole sana na masaibu yalokukuta.

Game nilivyoiona ilikwisha isha dk ya 8 pale yule dogo alipojipiga tackling yeye mwenyewe na kuacha gali wazi likipiga miayo. Goli la pili la kipa. La 3 siwezi hata kulizungumzia maana mechi ilishaisha toka dk ya 8.
 
Usiku mwema watani.
610x.jpg
 
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!
 
Hongereni wapenzi wa MANU. It was a very good strategy by SAF wanajua GUNNERS huwa tunaanza very slow hivyo wakahakikisha wanapata goals za haraka haraka na kutuacha GUNNERS tumepigwa na butwaa na morale hakuna tena. Baada ya kutupiga bao mbili za chap chap basi mpira ukawa umekwisha maana hatuna rekodi nzuri kwenye mechi ambazo tuko nyuma kwenye magoli. Wenger has to go we need a new coach. Kila la heri katika UEFA Final.
 
Mmmmh Gulp Gulp nimeamka baada ya match matokeo ndo vile tena tumeshindwa home ground... kwa HASIRA KESHO mimi nipo BARCA... Najua shujaa wetu Henry atatunyanyua fainali... Arsenal wooooye,BARCAS/Henry Woooyeeeeeeeeeeeeeeeeeee... Blurp ZZZZzzzzzzzzz....!!!

Ha ha ha ha ha ha LOL! sina mbavu. Naam Arsenal Oyeeee bado tuna mchapo nao MANU mmoja May 16, 2009 tunachezea nyumbani. Hopefully tutapeleka kilio Manchester au wakitupa kichapo kingine basi kibarua cha Wenger kitakuwa kimeota majani.
 
Mbu,BAK,Shadow,Next Level,Yoyo,Richard,Kanakansungu et all ,ingawa haya matatizo ya kufungwa kila siku mmeyazoea but napenda kuwapa pole tulishawaambia solution ni kumtimua huyo Prof. wa uchumi bila hivyo mtaendelea kufight nafasi ya 4 kwenye ligi na robo final kila season
 
Belo,

Hongereni kwa kutinga fainali........! Is true mkuu babu anatuangusha sana Emirates but yana mwisho hayo, tutakutana next year kny ulingo uleule!
 
Mbu,BAK,Shadow,Next Level,Yoyo,Richard,Kanakansungu et all ,ingawa haya matatizo ya kufungwa kila siku mmeyazoea but napenda kuwapa pole tulishawaambia solution ni kumtimua huyo Prof. wa uchumi bila hivyo mtaendelea kufight nafasi ya 4 kwenye ligi na robo final kila season

Mkuu unamwonea tu Wenger..magoli 2 ya harakaharaka yote yalitokana uzembe wa wachezaji wenyewe..baada ya pale ndio hivyo tena sufuria la pilau kwa wale watoto likawa limeingia nyongo..lakini wangeanza kufunga wao nna hakika mngejuta kuwajua...
 
Tatizo nilonalo na Wenger ni kuwa huwa kila akitaka kufanya Tactics anaishia kuharibu, for sure ilikuwa Big Mistake kumweka Van Persie as a winger inhali hawezi kuja katikati kusaidia kiungo wala nyuma (the likes of Park na Runi), for me that was the reason tulifunika kiungo na kukata supply ya mipira mbele, y dont he play Diarby?
Sor!
 
Kwa walipofikia mwaka huu wamejitahidi sana hasa ukizingatia viwango vya wachezaji wenyewe. Hii ni mara ya pili kwa Arsenal kufika hatua ya nusufainali pamoja na bajeti ya kichumi waliyonayo. Walichokosa miaka yote ni tactics za mechi kubwa na kushindwa kupata matokeo wanapokuwa kwenye presha hasa kutokana na uchanga wao.
 
Nakubaliana na wewe, Arsenal tumefungwa na Man U kwa sababu ya makosa madogo madogo yaliyofanywa na wachezaji. Itabidi timu yetu Arsenal ifanye jitihada za kutosha kuifunga Man U kwenye Premier League ili kurudhisha heshma yake kama ilivyokuwa kawaida.
 
Aisee tulishafungwa toka mechi ya kwanza kwa kucheza mchezo wa kijinga kudefend without attacking. Well Wenger has to bring in experience players now to boost our team.
 
Mkuu unamwonea tu Wenger..magoli 2 ya harakaharaka yote yalitokana uzembe wa wachezaji wenyewe..baada ya pale ndio hivyo tena sufuria la pilau kwa wale watoto likawa limeingia nyongo..lakini wangeanza kufunga wao nna hakika mngejuta kuwajua...
Mtindiowaubongo si mlaumu Wenger kwa game ya jana bali namlaumu kwa tactics zake na philosophy yake
Hana tactics za game kama hizi ukimlinganisha na Hidink,Benitez,Mourinho au SAF kwa mtizamo wangu naona Diaby kwa sababu ya nguvu alitakiwa aanze
Philosophy yake ya kupenda mpira wa pasi 50 halafu hata golini hujafika haifai kwa sasa ukizingatia unacheza na timu ya England then wachezaji muhimu ambao wanaisadia timu anawauza tena kwa bei chee (Diara,Flamini,Helb) sijaona hata mchezaji mmoja mwenye uchungu na hiyo timu ukilinganisha na Liverpool(Gerrard,Caragher,Mascherano,Beanayouni)
Chelsea(Terry,Drogba,Lampard,Esiien) ManU(Rio,Vidic,Fletcher,Oshea,Park,Rooney)
Wakulaumiwa sio wachezaji lile goli la 3 uzembe ulikuwa wa nani?
 
Mkuu sijui kuhusu tactics, lakini kwa magoli 2 ya fastafasta sidhani hata ingekuwa Man U ktk mazingira kama yale wangechomoka. Tactics za Wenger nadhani zilishaharibika toka gemu ya kwanza kwa kushambuliwa mapema na kupigwa magoli ya mapema ktk gemu zote 2. Wangetulia kwa dk 30 za mwanzo bila kufungwa ktk mechi zote mbili pengine wasingekuwa ktk hali iliyowakuta.
 
Kuruhusu hizo goli 2 fasta ndio tactics zenyewe but still ni posible kurudisha na kushinda
Mkubwa Liverpool alifungwa 3 bila na Milan kipindi cha pili walirudisha yote na kushinda,Manu juzi walifungwa na Spurs 2 bila game ikaisha Man kashinda 5-2
Niliona kama Mzee Wenger anataka kulia
 
...mmnnnh, basi tena na nyiiiee aaarrgghh

...mkishinda kelele miiiiiiingi! SAF na tactics zake, na Wenger ana zake,...sote tukicheza tactics za Man U burudani itatoka wapi?

Mnanizidishia machungu tu mie! 🙁
 
Back
Top Bottom