BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
...hakuna manager 'wa maisha',
...mwenzie Sir Alex Fergie kuna msimu ulimkalia vibaya nusura mashabiki wamkate shingo, akatangaza anaomba mwaka mmoja zaidi baada ya ku retire... matokeo yake amejenga kikosi imara, chenye wachezaji chipukizi na wakongwe...
...huyu AW yeye anabahati washabiki wa Arsenal ni wastahmilivu, lakini sasa ustahmilivu unaanza kutushinda,...nadhani uliona Board ilipompa ultimatum; "finishing outside top four is a failure", haraka haraka akamnunua Arshavin!
Timu haijengwi na chipukizi peke yake, lazima kuwe experience pia, wachezaji kama Pires, Gilberto, ...nk
It was a big big big mistake kumwachia FLAMINI aondoke kwa kukataa kumlipa tofauti ya £5,000 tu!
Haya, yalopita si ndwele,...tutange yajayo!
Kwanza you are right yaliyopita tuyaache!..
Kwahiyo AW anakuwa kama mchumi au nini?Fweza kama zipo si kununua vifaa bora kama ulivyosema chipukizi lazima wachanganyike na wazoefu..
All in all, tusubiri breaking news!..Mfaransa yule,Emirates watamiss kama ataondoshwa na kweli washabiki wavumilivu hawakuwa na kelele za kutishaa!