Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa makadirio ya £200±mil, we are favorite kwenye UCL na EPL 2024/2024

View attachment 3031822

i/ VICTOR OSIMNHEM
~ £ 80 mil. Kocha mpya wa Napoli, Conte, few weeks ametaja wachezaji wake muhimu Kwa 24/25 na Osimnhem si mmoja wao. Na ukitoa release clause yake ( £ 120m, ana makubaliano na Napoli, timu ikifika £80m plus, auzwe

View attachment 3031824

ii/ NIKO WILLIAMS
Hapa ndo kitonga kabisa, jamaa ana release clause ya £49m. Lipa beba mchezaji.

View attachment 3031825

III/ JOSHUA KIMMICH
Amebakiza mwaka mmoja na wajerumani. Amekataa kusaini mkataba mpya. Option rahisi na ya kibiashara kwa Bayern, ni kumuuza. Umri and everything (29y) Bayern hawakatai £35m

View attachment 3031828

iv/ RICARDO CALAFIORI
Kitasa haswaaa cha kiitalia.Only 22y LCB, LB. Doing AKE/GVARDIOL energy na TIMBER/MAGALHAES. Ukiweka £45m mezani, unabeba pia.

£(80+49+35+45)m inakuja kama £210m hapo. The second thing, wage ya wachezaji. Can't be issue kama tunataka kweli mafanikio
#ARTETAOUT
 
Haya sasa leo ni siku ingine. Tuachane na yaliyopita.

Nataka kuona jinsi gani tutainuka na kukamata form tena kwenye mechi zijazo. Maana ukifika hapa ni rahisi kuendelea kuanguka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Picha ya Arsenyo wakiinuka na kukamata fomu.
tapatalk_-166859762_349x365.jpg
 
Sema mnaosema arteta out nawashangaa sana.

2021/22
Man city- EPL

Liva- FA, carabao cup

Chelsea- club world cup

Arsenal- mpira mzuri cup,

Man u kapa

2022/23
Man city- EPL, FA, UEFA

Man u- Carabao cup

Arsenal- mpira mzuri cup, kufuzu uefa cup, overloading cup, positional play cup.

Liva- kapa

Chelsea kapa

2023/24
Man city - EPL

Man utd- FA cup

Liverpool- carabao cup

Arsenal- community shield cup, kucheza uefa cup, mpira mzuri cup

Chelsea -kapa

Mnaosema arteta out mchunguzwe akili kwakweli.
 
Ni ngumu sana kocha kukaa miaka mitano man u, liver, na timu nyingine kubwa bila kuchukua ubingwa mkubwa.
Ila ni jambo la kawaida kocha kukaa miaka 6 arsenal bila ubingwa wowote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arteta ni Eric Ten Haag anayevaa Modo, Hawezi kuwafikisha Asenyo popote.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu.
Tetea sio kocha, yule ni mwalimu wa mazoezi ya viungo, msipolishtukia hili na kutafuta kocha wa kueleweka kila msimu nyinyi mtaendelea kua wapenzi wasindikizaji tu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arteta ni Eric Ten Haag anayevaa Modo, Hawezi kuwafikisha Asenyo popote.
Tafuteni kocha wa kueleweka ndugu zangu.
Tetea sio kocha, yule ni mwalimu wa mazoezi ya viungo, la sivyo kila msimu nyinyi mtaendelea kua wapenzi wasindikizaji tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Waache mkuu, phase ziko 70 na sasa wako phase 5. Na kila phase inachukua mwaka
 
Hii mnalala mzee, achana na kuwa mnatimu mbovu, kingine mnagundu wazee[emoji1]

Arsenal hajawai kushinda na hii mijez miuepe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseeee haya mkorea njoo ufute kauli yako, tunataka uelezee umma kati ya Arsenyau na Man Utd ni timu ipi ina Gundu.

Hivi malengo haswa ya Arsenyani kucheza mpira ni nini? MAANA HATUWAELEWI.

Ifike kipindi arsenyo muachane na mambo ya mpira mjaribu hata kilimo cha mboga mboga[emoji23][emoji23][emoji23]

1736765274546.jpg
 
Halafu anatokea mwehu mmoja amakwambia kuwa Arteta ni football genius ukilinganisha na 10Hag. Yule Ten Hag alikosa udhubutu wa kumtimua Rashford tu ili ajenge timu yenye morali na muunganiko sawia.
 
Kuna kenge humu zinaamini kwamba bado Arteta anaweza kuwapa mafanikio,,,, mnaweza kufika hata phase 1000 na msipate hata kikombe cha uji !







Fukuza Arteta, ondoa magarasa , sajilini vizuri mtengenez project, baada ya 2/3 years mnaweza kuongea moja sasa ! Magoli ya open play yamekauka kabisa,,, mnategemea setipisesi sio,,,,
 
Back
Top Bottom