Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mimi nilikua beki, kipindi hicho Emmanuel Eboue alikua ndiyo anakiwasha Arsenal. Jamaa nikawa napenda anavyocheza akaniinfluence kufocus na skills kuliko nguvu.Eehh, "mpige na kibao" mtaani raha sana.
Zamani tulikuwa tunacheza soka bichi, mtu akipigwa kitu kizito tunaweza kuacha mpira tunaenda kujitosa baharini kwanza. 😂🤣
Kwahiyo mtu alikua akija vibaya nampiga body feints na ile chenga maarufu ya Zidane naipiga vizuri tu. Nilivyoanza chuo tu nikaanza ubishoo na mpira ukaishia hapo kuucheza