Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watu wengi walifikiria kama mimi. Kwamba ile red ni kwaajili ya DOGSO ila refa anasema dangerous play.

Dangerous play kivipi pale? Kwasababu ni professional foul kuzuia counter ila mwana kasema hapana ngoja niwaonyeshe
 
Msikose big matches in less than one hour. Ni Chelsea vs Arsenal women to be streamed by Canal +, Azam and Dstv
 
Ukicheki kwa angle hii ni sahihi kua dangerous tackle

20250127_001723.jpg
 
Baada ya vitisho na abuse kwa mke wa Kai Arteta came forward na kusema tunatarajia kusajili.

Nikasema hii ni plan ya kutuliza mashabiki. Leo ni tarehe 27 kila akiulizwa yeye anasema wanafanya assessment.

Kutokua serious ni kwingi
 
Police are investigating "threats and abuse" directed at referee Michael Oliver following Arsenal's game against Wolves on Saturday, the PGMOL has said.
 
Back
Top Bottom