Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ila kile kipindi cha pili bwana mdgo Odegaard alikuwa kama iniesta hivi mchakamchaka tu....Mungu asaidie tuende hivi hivi mpk Bukayo na Martinelli warudi....hyu Nwaneri Saka akirudi aisee wamuweke hata pale forward atatufaa....mtoto ana balaa sana yule🤠🤠🤠
Nwaneri anapishana na Øde pale kati
 
Kipindi cha kwanza hakijaisha na Marmoush keshawapiga hat trick mijusi. Bado Haaland naye ana hat trick yake kabla ya dakika 90...
 
Sasa Villa moto unazimika. Ipswich yupo hoi msimu huu na ana red na anamuongoza
 
Steringiiiiiii, uyu jamaa arteta aliona kipi cha special, chezaji vivu, hawezi kupiga cross, hawezi kushoot, mbio hana siku hizi, inshort ni zigo la misumali.
Ameenda bure Arsrnal, hakuna fee na mshahara wote wanalipa Chelsea
 
Back
Top Bottom