Kuna mtu kauliza online ikiwa Newcastle hua wanakamia mechi na Arsenal pekee.
Kuna mmoja akajibu inaonekana hivyo kwakua hata formation akicheza na Arsenal inakua tofauti mfano dhidi ya sisi ni back 5 ila dhidi ya timu nyingine ni back 4.
Kuna mmoja akajibu shida siyo ukamiaji isipokua attack yetu haiko fluid, ipo slow na stale kiasi kwamba tunawapa muda wa ku-regroup tofauti na wakicheza na timu zingine.
Mfano City, attack yao iko fast na pia hawasubiriani hadi wafike wote.
Jana goli la pili la Merino ni mfano wa timu ambayo haisubiriani, isipokua hatuna consistency kwenye attacks za hivyo ndiyo sababu timu yoyote ikipaki asi inatusumbua