Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

šŸ—£ļøNuno Espirito Santo: ā€œWe didn’t revert to our back 5 formation because Arsenal don’t have a strikerā€
IMG_20250227_113616_480.jpg
 
Nyie mbuzi bado mnautaka ubingwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] "Ligi bado mbichi kabisa hii,
Tunampiga Nyumbu, tunamgonga Chelkenge, tunawabutua Fulham, Everton, Brentford, Ipswich, Palace na Bounermouth, kisha tunaenda Anfield tunamgonga Liverpunda palepale nyumbani kwake tena mbele ya dada wa kazi then tunawatandika Magpies halafu tunamalizia na Southampton tunakabidhiwa ndoo yetu."

Alisikika chizi mmoja akiongea haya pale Milembe kabla ya muda wa kupewa dawa kufika.
1714323297486.jpg
 
arteta hatochelewa kupata club nzuri, ila club ya arsenal itakaa 5 more years kupata tactician kama arteta. So the ground's yours arsenyani. #YNWA
Kwa akili yako ulijua atachelewa kupata timu nzuri. Unaweza ukawa kocha mzuri na usifanikiwe timu hii, ukafanikiwa timu nyingine. I thought you are old enough to realize that.
 
šŸ—£ļøMikel Arteta on draw against Nottingham Forest:

ā€œLiverpool had one loss and a draw to Forest, I think for us to come away from this fixture and take 4 points total, shows who’s the better team 😁🤣

IMG_20250227_184307_705.jpg
 
False hopers nacheka sana maana kuna kipindi mlisema pep akiondoka arsenal mtatawala epl for more than ten years, kiko wapi ???? .
The biggest false hope ya msimu huu ni ule ushindi wenu wa 5_1 against city yaani mlisahau yote mkaona mmeshinda ubingwa Gabriel anaruka ruka uwanjan halland akumnyooshea kidole nembo ya EPL champ šŸ†. hicho ndo kina umuhimu zaidi na si ushindi wa goli 5 kwa man city ambaye msimu huu kila mmoja anajipigia tu ila nyje mkaona ndo kama mmebeba ligi vile.
kushinda 5 mkasahau hata kama mnatakiwa kusajili just imagine Aston villa pamoja na kuwa na watkins lakini wakamuongeza rashford malen na asensio , mkiambiwa nyinyi ni false hopers mnapinga.

Baada ya kushinda game na Leicester kwa mbinde japo ndo timu inayofungwa na kila mtu mkaanza oooh merino can play as striker , arteta nae kwa kujiona master akaanza kutamba kuwa califiori can play as striker too šŸ˜‚šŸ˜‚ na nyinyi mlivyo kondoo mkakubali na kujifanya mnaleta maneno yenu ooh inverted full back striker hahahaha hili jukwaa la false hope ni raha sana kuna vituko si tu vya mashabiki mpaka makocha wao huku mbele
 
The big fact ni kwamba liverpool kwa njia yoyote ile ni bingwa as long as arsenal ndo analeta upinzani. Hata kama Arsenal angekua ana point za Liverpool na Liver ana point za arsenal still liver angekua bingwa.

Team yoyote ile ikiwa kwenye race ya ubingwa na arsenal hata kama ingekuwa wanangu Blackburn bado position ya ubingwa angekuwa blackburn refer ya Leicester na man city miaka miwili hii na liver msimu huu.
Nakumbuka false hope za wanangu kina mkorea, castr , Henry na mkuu wa kitengo aliyepewa uenyekiti wakusambaza false hopes humu ndani kakimbia kabisa . Nikipata muda nitafukua makaburi yale kuwa pep akiondoka hakuna wakuwazuia kubeba ubingwa mfululizo.
Slot kaja chapu ubingwa huo hapo nakumbuka hamis alikua anamdharau anasema hajui chochote kisa katoka ligi ya uholanzi
 
Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Mechi 10 ni nyingi endapo Liverpool angekuwa yupo kwenye race ya ubingwa na team kama chelsea , man city, man utd or even Leicester city 🤣🤣🤣🤣 na sio yupo na arsenal.

Amini amini nakuambia hata Liverpool apoteze match 6 mfululizo bado chance ya kuwa bingwa ni kubwa kwake kuliko kwa arsenal.
Hivi hii arsenal mnaijua mnaisikia wanangu sisi ndo tunaijua arsenal, Arsenal kumuita bingwa ni mpaka uone kabeba kombe kakabidhiwa tayari odergard as captain na si tu kukabidhiwa bali kalinyanyua jui wameshangilia then kesho asubuhi ndo unaamka unasema arsenal bingwa pasi na ivyo hakuna ubingwa kwa arsenal
 
Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu
@hamis77 huyu jamaa alikuwa anawadanganya sana humu.
Hivi sasa anapiga propaganda zake kwenye Jukwaa la Dini ana wahubiria watu huko eti Ujio wa Mtume upo karibu.
 
Back
Top Bottom