Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Epl bila united icone hakuna radhaYani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? ššš
Pambaneni kwanza msishuke daraja
Yani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Pambaneni kwanza msishuke daraja
Unategemea Liverpool adondoshe points wakat we wewe unaendelea kuzidondosha..Ni nyingi ndio lakini kutegemea liverpool adondoshe points ni uongo, na wakati anadondosha points swali ni kwamba sisi arsenal tunaweza kushinda gemu zote?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] "Ligi bado mbichi kabisa hii,Nyie mbuzi bado mnautaka ubingwa?
Kwa akili yako ulijua atachelewa kupata timu nzuri. Unaweza ukawa kocha mzuri na usifanikiwe timu hii, ukafanikiwa timu nyingine. I thought you are old enough to realize that.arteta hatochelewa kupata club nzuri, ila club ya arsenal itakaa 5 more years kupata tactician kama arteta. So the ground's yours arsenyani. #YNWA
Kwa mfano hadi sasa arsenal mnatuzidi kitu gani labda?Yani nyumbu nawewe unataka utoe kauli? ššš
Pambaneni kwanza msishuke daraja
Oya hii ni meme au serious mkuu?š£ļøMikel Arteta on draw against Nottingham Forest:
āLiverpool had one loss and a draw to Forest, I think for us to come away from this fixture and take 4 points total, shows whoās the better team šš¤£
View attachment 3252248
Mechi 10 ni nyingi endapo Liverpool angekuwa yupo kwenye race ya ubingwa na team kama chelsea , man city, man utd or even Leicester city š¤£š¤£š¤£š¤£ na sio yupo na arsenal.Mechi 10 ni nyingi ujue, chochote kinaweza kutokea
Tuna test mitambo ya kufukua makaburi mdogo mdogo.Liva aweza shinda ligi
Huyu jamaa alikimbiliaga wapi ????? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jamaa ako ana hasira ,Mimi nataka nijue kwa wachezaji wazee wale wa Liverpool, anaenda kumtoa Nan pale top 4
Arsenal,city , Newcastle, astonvilla, Brighton, manjesta,
@hamis77 huyu jamaa alikuwa anawadanganya sana humu.Hawa Wana hasira na timu zao zinasajili ovyo Zina wazee , muda mwingine hazisajili, Sasa hasira wanamalizia humu ,hivo sio wakuwapa nafasi ,lengo tusijadili mwenendo wa timu yetu