Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya kusajili Striker inatakiwa kwanza Odegaard auzwe, tupate no 10 mkali mithili ya Wirtz, akiambatana na Zubimendi na Striker mkali km Isaak matatizo yote yanaisha. Bruno Fernandes leo amefundisha somo zuri how to play as a #10 lkn ndugu yangu just uwezo ndio umeishia pale.
 
F9367E7B-1991-4AA5-AC8C-11EDBA2035F7.jpeg
 
Tulikubaliana humu jesus ni hatari kuliko isak
Kabla ya kusajili Striker inatakiwa kwanza Odegaard auzwe, tupate no 10 mkali mithili ya Wirtz, akiambatana na Zubimendi na Striker mkali km Isaak matatizo yote yanaisha. Bruno Fernandes leo amefundisha somo zuri how to play as a #10 lkn ndugu yangu just uwezo ndio umeishia pale.
 
Odegaard anafanya kazi ambayo tunategemea km zubi akisajiliwa Arsenal aje kuifanya, to progress the ball clean up the pitch, anashuka chini ku break opposition's press thru numerical superioty & dynamism ili mazingira yawe rahisi kupeleka mpira mbele lkn sio kazi yake ya msingi, Odegaard kama #10 sioni anachofanya, hawezi kufunga, no assists, no creativity, just touches zisizo na mbele wala nyum na vishot mshenzi visivyoeleweka
 
Pale cristal palace kuna eze far better kuliko odegaard
 
Inambidi Dec Rice avae uhusika wa no.10 ndio tupate matokeo, maana yake injury ya Dec Rice basi na msimu wetu unaishia hapo, na hii inafanya nione inawezekana Saka, havertz na Rice ndio wachezaji wetu muhimu kutupa ushindi.
 
Tulikubaliana humu jesus ni hatari kuliko isak
Inategemea na mazingira, hapa tunaangalia the playing model, kwa Arsenal ya 22-23 Jesus was the best, kwa Arsenal hii Isaak anasolve matatizo mengi ya Arsenal kuliko Jesus
 
Odegaard ni mzigo mzito kuliko Kai havertz, hatuna namba 10, we just have a body in there.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu kuna wahuni humu walikua wanajiaminisha kua Odegaard ni bora kuliko Bruno Fernandez.
Hebu imagine Man Utd hii mbovu ingekua na Ordegaard, halafu Arsenyo ya hii misimu mitatu ingekua na Bruno, nina uhakika mngekua mshabeba mpaka Uefa.
 
Kuna watu wanadhani Arteta kumpanga Odegaard labda haoni mapungufu yake, ni hivi Odegaard alisajiliwa km project lkn amegeuka kuwa a disappointment, kupata regular spot ni kwamba there's no replacement, mbadala wake ni fabio viera ambaye naye ni project, lkn within the next two seasons simuoni akiwa mchezaji wa Arsenal. Kwa sasa kiufundi Odegaard ana umuhimu kwenye maeneo mawili, build up na press lkn kwenye zone yake he is a liability, maana yake kwa ujio wa physical ST km Isaak, Osimhen or Sesko na an orchestra #6 kama zubi, Odegaard anakuwa useless in the team, utahitaji no.10 ambaye ni more creative, mwenye transitional threats, goal scoring ability, kubwa zaidi ball striking ability.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu kuna wahuni humu walikua wanajiaminisha kua Odegaard ni bora kuliko Bruno Fernandez.
Hebu imagine Man Utd hii mbovu ingekua na Ordegaard, halafu Arsenyo ya hii misimu mitatu ingekua na Bruno, nina uhakika mngekua mshabeba mpaka Uefa.
Kama tungekuwa na Bruno nakuhakikishia gap na liverpool lingekuwa point 4-5 majeruhi sawa, red card sawa lkn kuna mechi nyingi sana it's a wasted opportunity kwa kukosa right profile kwenye no.10 spot
 
Arsenal hamna kitu tutafanya msimu huu, tujiandae na usajili ambao tukiboronga tujiandae kumuona kocha hafai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wazee wa Netflix tayari mmeshakubali kunyanyua mikono juu, msikate tamaa wanangu pambaneni points 15 sio nyingi sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Kamalizaneni na wanywa ulanzi(Waholanzi) halafu mkakutane na kina Mbappe wanawasubiria kwa hamu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu kuna wahuni humu walikua wanajiaminisha kua Odegaard ni bora kuliko Bruno Fernandez.
Hebu imagine Man Utd hii mbovu ingekua na Ordegaard, halafu Arsenyo ya hii misimu mitatu ingekua na Bruno, nina uhakika mngekua mshabeba mpaka Uefa.
Ashindwe Fabregas aweze Odergaard[emoji28]
 
Inategemea na mazingira, hapa tunaangalia the playing model, kwa Arsenal ya 22-23 Jesus was the best, kwa Arsenal hii Isaak anasolve matatizo mengi ya Arsenal kuliko Jesus
Isack wa ndotoni labda, au tuwape Nunez
 
Back
Top Bottom