Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Vp si umeona jana? Bunduki kibao hazikuwepo lakini mziki mnene
Baambie bana.....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp si umeona jana? Bunduki kibao hazikuwepo lakini mziki mnene
welcome back tumekumiss sana butusikimbiewell said mkuu...waache jamaa waendelee kukariri aisee,mambo yanabadilika
Majukumu kamanda....hope 2takuwa pa1 msimu wote huu..BTW uliziona bunduki za Jomsi pale Goodson Park???welcome back tumekumiss sana butusikimbie
welcome back tumekumiss sana butusikimbie
Kudos the Gunners! Vijana walitandaza kandanda la uhakika.
Lakini huwa mnanikera ku-dissappoint huko mbele ligi itakapofikia hatua muhimu.
Man City hawana timu ya kuchukua ubingwa mkuu,bora hata ArsenalNaam, ulichosema ni kweli tupu. Sisi huanza vizuri sana karibu kila mwaka na ikishaanza kuingia mitaa ya November na December basi huanza kuvurunda vibaya sana sijui ndiyo 'nguvu ya soda' halafu timu yetu huwa na majeruhi wengi sana kulinganisha na timu nyingine za juu.
I hope msimu huu itakuwa tofauti ili kuweza kupambana mpaka dakika ya mwisho na pia kutokuwa na majeruhi wengi. Hii ya juzi, kwa maoni yangu ilikuwa mechi ngumu kwetu hasa ukitilia maanani mafanikio makubwa ya Everton msimu uliopita na walikuwa kwao na timu yao haijabadilika sana. Tusubiri tuone jinsi msimu utavyojikunjua.
Nimependa sana upangaji wa kocha mpya wa Timu ya Chelsea. Hawa na ManCity ndiyo nawatabiria ubingwa msimu huu, lakini mpira ni dakika 90 na chochote kinaweza kutokea katika hizo ninety minutes.
Baelezee,unajua hata Sir Fergie baada ya mechi ile ya ngao ya jamii;alisema "Ars.msimu huu taji la EPL ni lao endapo tu hawatakumbwa na majeruhi."Hapa ndipo mtego ulipo!Kwasababu ikiwa mchezaji anaumia mazoezini,hii timu inaweza kumudu kuepuka majeruhi?!
Naamini ni kitu ambacho hakiwezekana,ila unafuu utakuwepo kuzingatia na aina ya wachezaji wanaopata majeraha na umuhimu wao katika timu.
wamesema wako 50-50 mkuu tuombe mungu....Fabregas, Denilson, na Sagna sasa ni majeruhi, hawatacheza kesho dhidi ya Celtic -Scotland UEFA qualifications...
🙁 ...sijui nilie?
...Fabregas, Denilson, na Sagna sasa ni majeruhi, hawatacheza kesho dhidi ya Celtic -Scotland UEFA qualifications...
🙁 ...sijui nilie?
Man City hawana timu ya kuchukua ubingwa mkuu,bora hata Arsenal
mie naona wakati umefika wa kuleta defensive midfield na defender mwingine manake kama hali itakuwa hivi mechi moja tu mara watu watatu wanamajeruhi basi tutaendelea na mchezo wetu hule hule.Mkuu Mbu, sijui hawa kama huwa wanawasili kambini wakiwa fit tayari kwa msimu mpya. Mapesa yote wanayopata wangestahili kuwa personal trainers ambao wangekuwa wanawaandaa wakati wa off season wiki sita kabla ya kuingia kambini ili wanapoingia kambini wameshaiva tayari kwa msimu. Hali hii ya majeruhi ikiendelea hata bench linaweza lisiwe na wachezaji.
mie naona wakati umefika wa kuleta defensive midfield na defender mwingine manake kama hali itakuwa hivi mechi moja tu mara watu watatu wanamajeruhi basi tutaendelea na mchezo wetu hule hule.
"...Arsene Wenger on Tuesday night reignited his war of words with Raymond Domenech by holding the France coach responsible for Thierry Henry's injury-ravaged season", "Arsenal boss Arsene Wenger has also blamed the Stoke City midfielder for Theo Walcott's shoulder injury",
"we had no possibility to rotate the side because we had many injuries and then all the suspensions"
"I am looking forward to the summer - I am counting the days. I need one summer to rest."
...He said: "I feel we will not be in the same position in future seasons where we have two strikers injured and another suspended. That gave us no possiblity to rotate."
asante mkuu naona jamaa washabiki wao hawa noma sijui wanawashinda wa anfield?Goodluck
wakubwa mpo ? kila mtu kashakaa sawa? kuna mtu anahitaji link au kujua channel gani mechi hipo aseme mapema hili haweze kuenjoy game.