Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
😀Sio unakaa na majonzi mpaka game ijayo bali unakaa nayo mpaka mwisho wa ligi😀
mwisho wa ligi mbali manake mara nyingi ukishinda game inayofata watu huwa wanasahau yalio pita si unajua lol.
...AW huwezi jua bana, labda Mchukia Fisadi bado anaugulia kipigo cha Burnley pale Turf Moor! 😀
Kwa maamuzi yaliyoonyeshwa na marefa juzi kwenye mechi ya Arsenal na Man U natabiri kifo cha ligi kuu ya England in the near future. Inabidi FA wajifunze kilichotokea Serie A ya Italia
...EPL itakufa siku marefa na FA wakiacha kuipendelea MAN U!
