Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😀Sio unakaa na majonzi mpaka game ijayo bali unakaa nayo mpaka mwisho wa ligi😀

mwisho wa ligi mbali manake mara nyingi ukishinda game inayofata watu huwa wanasahau yalio pita si unajua lol.

...AW huwezi jua bana, labda Mchukia Fisadi bado anaugulia kipigo cha Burnley pale Turf Moor! 😀

Kwa maamuzi yaliyoonyeshwa na marefa juzi kwenye mechi ya Arsenal na Man U natabiri kifo cha ligi kuu ya England in the near future. Inabidi FA wajifunze kilichotokea Serie A ya Italia

...EPL itakufa siku marefa na FA wakiacha kuipendelea MAN U!
 
ha ha ha mie huwa sipendi sana kufungwa alafu kuna kuwa na international break manake unakaa na majonzi kwa mda wote huo mpaka game ijayo.
Ila majonzi yanakuwa na faraja kama refa na wasaidizi wake wanamtoa kocha wa timu kwa sababu ya kupiga chupa teke chupa ambayo hata ilipopigwa haikuingia uwanjani kudistabu mchezo. Lakini pia machungu yanakuwa zaidi pale refa anapoogopa kutoa penalti kwa Arsenal pale Arshavini anapodondoshwa kwenye eneo la hatari kwa kuogopa jinamizi la Eduardo.
 
Waafrika ndivyo tulivyo, kwa mentality hii tuna safari ndefu kwenye kufuata sheria.
 
Waafrika ndivyo tulivyo, kwa mentality hii tuna safari ndefu kwenye kufuata sheria.
Kosa langu ni lipi mkubwa?
Kusema mtazamo wangu?
Au nini hasa?
Kuwa wazi tu acha kumumunya maneno
 
I wish muende unbeaten at least the next 15 games tuone critics zote hizi zitaendelea kuwepo. Its is obvious EPL hakuna good referees lakini sio kihivo guys.
 
Kosa langu ni lipi mkubwa?
Kusema mtazamo wangu?
Au nini hasa?
Kuwa wazi tu acha kumumunya maneno

Na mimi nimetoa mtizamo wangu ndio maana nikahighlight na rangi nyekundu (kupiga teke chupa ata kama hiyo chupa ni takataka sio jambo la busara angemuumiza mtu ingekuwaje?) sasa uko kumung'unya maneno kumetoka wapi? Kosa akifanya Drogba na kuadhibiwa mnaona sawa, kafanya Wenger (ingawa makosa yako tofauti) kwa sababu mnashabikia Arsenal mnaona kaonewa ebo!
 
heshima mkuu,wote sie washabiki na tunajua vizuri jinsi huu mchezo ulivyokuwa na jazba.wenger hakuwa na kosa la kupiga teke kwani ilikuwa reaction yake ya lile goli kuwa la offside sio kwamba kapinga maamuzi yaliotolewa.kilichotokea pale ni 4th official kakuza mambo na ndio maana yeye na refa wake wamemuomba msamaha wenger.swala la chupa hilo hata martin oneil anamchezo huo sana kama ushamuona kwenye mechi zake na hakufanyiw vile.ilikuwa poor judgement na wameomba msamaha swala limeisha.kuhusu chupa kama ingemuumiza mtu yeye ana akili timamu na ndio maana kaipiga alipoipiga kama angegeuka na kuipiga kwa mashabiki hapo angechukuliwa hatua.
 
Kosa langu ni lipi mkubwa?
Kusema mtazamo wangu?
Au nini hasa?
Kuwa wazi tu acha kumumunya maneno

Ukiona hivyo ndo alobebwa huyo!
kama ni swala la Eduardo mbona yule kitimoto kapewa tena aliichupia kabisa mikono ya Aluminium haaa

Marefa na man u wana bore sana tena sanaa.aaaghaaa
 
the sun have done their sums of how much the Big four + 1 (that's man city,of course) have spent in the last four years,and while man city have splashed out a net spend of pound 232.4m,man united have spent just pound 6.25m,while arsenal have made a net profit of pound 27.9m.Rafa 'no money' Benitez has spent pound 88.4m,while chelsea have dished out pound 97.5m.

kumbuka hizo hela ni baada ya kuuza na kununua wachezaji balance ndio hizo for the last four years.
 
Rooney refutes dive claims

Thursday 03 Sep 2009
Manchester United striker Wayne Rooney has denied suggestions that he is a diver after it was alleged that he deceived the referee to win a penalty in Saturday's 2-1 victory against Arsenal.
The 23-year-old England international appeared to already be heading to the ground when Gunners goalkeeper Manuel Almunia upended him during the action-packed Old Trafford encounter.
wayne_rooney.jpg

WAYNE ROONEY
However, the former Everton star said in the build-up to England's friendly international against Slovenia: "Everyone who watches me play knows I'm an honest player.
"I play the game as honestly as I can. If the referee gives a penalty there's nothing you can do. It's a penalty.
"If they want to take punishment further it's down to UEFA and the people who run the game. As players you just want to play.
"Diving has been in the game for years. Probably the coverage the game gets now, with all the cameras around, it gets highlighted a bit more. But it hasn't got any worse.
"You see some that shouldn't have been penalties but get given and others that are clear and don't. The decisions are down to the referee. It's a difficult job but they do the best they can."
 
Wakati Mbu na wenzake wanataka kututoa roho..........
_46321799_ferguson466.jpg
 
Wakati Mbu na wenzake wanataka kututoa roho..........
_46321799_ferguson466.jpg

...ha ha ha...umemuona Platini alivyojikunyata? Hairdryer mchezo!!!
Jamaa wawili hao wanasauti kichizi, wakisema tunajitoa UEFA, ndio mwisho wa ulaji wake Platini...

EQLYPZ acha unoko bana, Mbu haumi kihivyo...! 😀
 
Arshavin blow annoys Wenger

Thursday 10 Sep 2009
Furious Arsenal manager Arsene Wenger has criticised Russia coach Guus Hiddink for playing Andrey Arshavin in Wednesday's World Cup qualifier against Wales.
The midfielder aggravated a groin injury during the 3-1 victory that will sideline him for a fortnight even though the Gunners had highlighted the problem to Hiddink before the 28-year-old was called up for international duty.
andrey_arshavin.jpg

ANDREY ARSHAVIN
Arshavin will miss Arsenal's next three matches, against Manchester City, Standard Liege and Wigan Athletic.
Wenger said: "We lost Arshavin, who played with Russia last night and should not have played. He's out for Saturday, for Wednesday and certainly as well for Wigan.
"I took him out at Manchester United because of a groin problem. He did not play in Russia's first game (last Saturday against Liechtenstein) but played last night.
"He should not have played and is injured. You can say a lot about it but it does not do a lot. All the players are not back yet, so we have to wait a bit to see what damage has been done by the international games."

Haya mambo ya international ndio yanaponiuzi mimi hapa.hii ni big blow kwetu.arshavin ni mzuri sana kwenye big games sasa sijui eduardo aanze hili tucheze 4 3 3 kama kawaida au tucheze 4 4 2 diaby aanze?
 
Manchester City v Arsenal
Barclays Premier League
Saturday, September 12, 2009, 15:00

>>>...😀 >>>
 
Manchester City v Arsenal

Barclays Premier League
Saturday, September 12, 2009, 15:00

>>>...😀 >>>
Mwenzenu leo nimeota Adebayor kawapiga bao tatu peke yake,halafu na mie kwa kuota mambo ya ukweli!sijui itakuwaje,ngoja leo nipime uwezo wangu wakuota mambo kiukweli ukweli.
 
Mwenzenu leo nimeota Adebayor kawapiga bao tatu peke yake,halafu na mie kwa kuota mambo ya ukweli!sijui itakuwaje,ngoja leo nipime uwezo wangu wakuota mambo kiukweli ukweli.

...ha ha haaaa! haya bana... usije ukakilaani kitanda ulichokilalia na upande ulioamkia tu! 😀
 
Niko hapa nikisubiri kuona jinsi Adebayor atakavyokuwa na usongo wa kututungua na kuendeleza upataji wake wa magoli katika kila mechi aliyoicheza hasi sasa, na sisi tukitaka kumuonyesha kwamba alifanya makosa makubwa kutukimbia. I hope referee na wasaidizi wake hawatauharibu huu mchezo.
 
Usiwe na hofu mkuu refree atakuwa pamoja nanyi!
 
...afadhali Micah ndio katutungua,...ingekuwa Adebayor si kelele hizo hapa...

haya, mpira dkk 90!!! 🙁
 
Back
Top Bottom