Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

1775872602060.jpg
 
Kwakweli hata kama wanatuchezea mapicha picha ila wenzetu wanafanya kitu sisi hata mashimo ya Bara bara kuziba ni mtihani mkubwa kwetu. Na tuna watu wanaitwaga wabobezi lakini hola, wacha wafanye wakifanyacho ila umaarufu Nchi yao inapata na kubakia kwamba walifanya kitu flani, kama tunavyo hadithiwa Apolo ilikwenda mwezini.
 
Back
Top Bottom