Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

Sisi hata panado zimetushinda kutengeneza
Nyie mnashindania ukubwa wa uume na kupotea kwa nyeti zenu kimazingira.

Hongereni sana vijana wa Samia kwa kuwa wanunuzi wa kuvaa PIN zikiwa zimefungwa na rubber band kwa ajili ya kuzuia nyeti zenu zisipotee kimazingira.
 
Za Elon zikoje mkuu?

Tupe elimu...
za Musk zinatumia tecknolojia ya kisasa zaidi inayowezesha rocket kurudi chini na kuweza kutumika zaidi ya maramoja, lakini tecnilojia ya mwanzo waliyokuwa nayo NASA, rocket ikirushwa ni maramoja tu sehemu kubwa inaungua na capsule ambayo imebeba watu inaungua heatshield kwa asilimiankubwa hivyo haiwezi kutumika tena
 
Thank you bro..
 
God is real. Mungu ametupa akili lakini huwa tunashindwa kuzitumia.

Ukiitazama sayansi ya anga, utaona jinsi Dunia ilivyo na ulinzi wa ajabu. Tabaka la angahewa (atmosphere) hulinda maisha kwa kiwango kikubwa sana.
Vitu vinapotoka angani na kujaribu kuingia Duniani, kwa sababu ya kasi kubwa na msuguano na angahewa, mara nyingi huwaka moto na kuteketea kabla havijafika ardhini.

Kama Dunia isingekuwa na angahewa kama ilivyo kwa Mwezi, hali ingekuwa tofauti kabisa.
Uso wa Dunia ungeathiriwa moja kwa moja na vipande vya mawe kutoka angani, na maisha kama tunavyoyajua yangekuwa hatarini sana, au hata yasingekuwepo kabisa.

Hivyo tusipuuze elimu ya uchunguzi na kuona na maigizo. Mtu mwelewa laziama ataamini maarifa ya sayansi.
 
Wao wanasema wametuma watu anga za mbali, na wamekuonesha mpaka picha.

Wewe unasema maigizo, tuoneshe chochote kukazia pweinti yako.(sio wewe)
Wakati tunaondoka mpiga picha tulimuacha kule.
 
Afu bado wanapona... Sisi basi likipinduka wengine tunaaga dunia, wengine tunaumia

tuanze kujiuliza maswali ya kimantiki. Uongo mwingi sana katuletea mdhungu hapa duniani
 
Back
Top Bottom