Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

Hata kama asingekuwa single mother bado ndoa ingeweza kuvunjika tu na akaolewa na mwanaume mwingine

Ndoa nyingi tu ambazo hata sio za single mother zinavunjika kila siku, hakuna cha ajabu hapa.
 
Hata kama asingekuwa single mother bado ndoa ingeweza kuvunjika tu na akaolewa na mwanaume mwingine

Ndoa nyingi tu ambazo hata sio za single mother zinavunjika kila siku, hakuna cha ajabu hapa.
Hatukatai ndoa kuvunjika ..ila ndoa kuvunjika ukioa single mother ni 99% maana mke wako anakuwa ni mali pia ya mtu mwingine kwa kisingizio cha ujinga wao wa kuzini kabla ndoa na na serikali, jamii wote wanakuwa upande wao .. hapo lazima ufe kwa depresion haha.
 
Singo maza anahitajika aliyeamua kufunga mlango kweli kweli kwa mambo yaliyopita na mwenye hofu ya Mungu kweli, nje na hapo utalia siku moja.
Ukute huyu mzazi mwenzake wa mwanzo walikuwa wanakutana naye kimwili akiwa ndani ya ndoa ya pili na kabla ya kuingia.
Sio ajabu wale watoto wawili wa mume aliyeachwa ana wa kwake mmoja tu, na wale wawili ni wa mwanaume aliyempa ujauzito akiwa shule na sasa amemuoa.
 
Kinachomtofautisha single mother ni mtoto tu ila wanawake karibia wote wa mjini wanafanya mapenzi na boyfriends wao kabla ya ndoa na karibia 90% wana ma ex
 
Kinachomtofautisha single mother ni mtoto tu ila wanawake karibia wote wa mjini wanafanya mapenzi na boyfriends wao kabla ya ndoa na karibia 90% wana ma ex
Kwa research ipi ulofanya.
 
Hivi maho yangu yapo sawa au yamepofuka? Kwamba aliyeoa kalea mimba isiyo yake? Kama ni hivyo natoa pole sana siyo kwa mwanaume aliyelea hiyo mimba, ila kwa hiyo ndoa ya pili. Nimejifunza mengi hapa duniani muitunze hii post. Stupid woman, stupid baba wa mtoto.
 
Binafsi simshauri mtu hata kidogo aoe single mother, sina chuki nao but ni ushauri Tu Kwa vijana wanaotaka Kuoa single mother.
 
Enyi waungwana mwanamke hazai kwa mwaume asiompenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…