Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

Nna single maza na alikuwa na watoto 2 mi nikaongeza mmoja na mwaka huu naongeza mwengine na maisha yanaendelea.
 
Singo mamaz wanapoteza tena pambano hapa.
Narudia upuuzi wa singo mama m1 usijumuishe wote.
Wote ni wale wale tu single mother ukizaa na mwanaume mkaachana bila matambiko na hamjaenda kanisani ile roho (spiritual) mlioshare bado inawatafuta na kuwatafuna. Single mother aongezwe mtoto tu na kuchapwa akiwa kwao ama kwake pekee.

Nawasilisha
 
mimi niko na kids 3,mbili wana mama yao na moja ina mama yake,nikasema njia nzuri na mimi nioe mwenye mtoto angalau moja lakini kwa sharti la kwamba huyo mtoto awe alitelekezwa na baba wake tangu ujauzito,januari 1 nilikuwa na kesi ya kisiasa,nikawekwa ndani kama siku tisa,watu wengi walikuwa wanamtafuta mama ni wanawake single mama na wengine sina nao mazoea kabisa,sasa kule polisi waliniandama sana ukitoka uoe,wakamwambia na mama hivyo,mimi nikawajibu "ï will marry when i want",baada ya kutoka bi mkubwa kuna demu moja ni single mama alikuja kunicheki home, anapafahamu maana anakaa mitaa ya jirani na bi mkubwa,sasa bi mkubwa alimzoea.

Bi mkubwa alikua hajui kama ni single mama,akaanza kunipelemba,mimi nikambadirikia ni kamwambia huyo ana watoto 2 baba tofauti na huyu mtoto wa pili alimpata tukiwa kwenye mahusiano,aliamua hivyo sababu alihitaji kuzaa na mimi niligoma kwa wakati huo maana sijawahi kuzaa mtoto kiholela tu wote nilizaa nikiishi na mama zao kwa nyakati tofauti,yeye aka mind akapotea kama mwaka ,kajifungua, akanitafuta.
Bimkubwa akatulia tuli,siku ikapita,baada ya muda flani akaanzisha mada flani humo akachomekea "Halafu hao wanawake wako wenye watoto sitaki kuwasikia",nikamuuliza kwa nini akasema watakuvuruga hao mpaka uone.
 
Back
Top Bottom