The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Police to policeHii ya tuna fanya uchunguzi!!! tunafanya uchunguzi.!!
Ni ishara ya watu wenye utamaduni wa kutojiamini kwenye kufanya maamuzi.
Au ni namna ya kuhalalisha uovu uonekane halali, kwa kutuoa majibu ya uchunguzi miaka 3 ijayo.
wakati huo muathirika amekata tamaa ya kufuatilia madai yake.
Iko siku kutakua na ulazima wa kuunda tume ya kufuatilia uchunguzi unao chunguzwa.
Hakuna kesi hapo. Mambo yataisha kimya kimya, kwa sababu ya kulindana! Na pia kwa sababu baba yake alikuwa ni kigogo ndani ya hilo jeshi.Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi.
Askari huyo anatuhumiwa kumvunja mguu wa kushoto Peter Charles (21), mkazi wa Daraja II, jijini Arusha Juni 6, 2024.
Akizungumzia tukio hilo leo Alhamisi Agosti 15, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema wanamshikilia ofisa huyo wa polsi na kwamba uchunguzi umeshaanza na endapo atabainika kuwa na kosa, atachukuliwa hatua za kisheria.
"Ni kweli hilo tukio liko ofisini kwangu na tumeanza uchunguzi tangu Agosti 8, 2024 nilipopata taarifa kwa simu kutoka kwa ndugu wa huyo kijana akimtuhumu askari wangu kumpiga hadi kumvunja mguu,” amesema Masejo alipozungumza na Mwananchi.
Mwananchi
Hawezi kuwa mwanae wa mwisho huyo. Mwanae wa mwisho bado hajafikia hatua ya kuajiriwa. Labda kama umemsahau. 🥵Nadhani mwanae wa mwisho huyu!!!
Halafu ilo omary sindio lile toto la nje ya ndoa ,baba yake alizaaga na house girlAtakuwa mtoto wa Omari Mahita, angeweza hata kumvunja huyo kijana shingo kwa jinsi babake alivyokuwa katili.
Sio kwa serikali ya Samia,huyo lazima ashtakiwe tu,sema watanzani walivyo wasahaulifu, ndani ya wiki tu litasahaulikaBaba yake akipiga simu Moja tu Kijana anafutiwa mashtaka yote
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka 🙌
Huyu ni yule alizaa na house girl halafu akamkataa kesi ikaenda hadi mahakamaniNadhani mwanae wa mwisho huyu!!!
Tangu June 6 2024!"Ni kweli hilo tukio liko ofisini kwangu na tumeanza uchunguzi tangu Agosti 8, 2024 nilipopata taarifa kwa simu kutoka kwa ndugu wa huyo kijana akimtuhumu askari wangu kumpiga hadi kumvunja mguu,” amesema Masejo alipozungumza na Mwananchi.
We jamaa dishi limeyumba,mpka leo ujui hata kuandika!!!Aliaibika kesi moja loh
Delay tacticsHii nchi inachekesha sana sio siri
Inspector wa Polisi anakiri hilo tukio limetokea na Wanamshikilia Askari huyo THEN anasema tena Uchunguzi unaendelea
Unaendelea ili wagundue nini tena?
"Tumeanza uchunguzi""Ni kweli hilo tukio liko ofisini kwangu na tumeanza uchunguzi tangu Agosti 8, 2024 nilipopata taarifa kwa simu kutoka kwa ndugu wa huyo kijana akimtuhumu askari wangu kumpiga hadi kumvunja mguu,”
Kama tulivyosahau ya walioteka chaula na wakiombaka yule bjnti wa yombo.Sio kwa serikali ya Samia,huyo lazima ashtakiwe tu,sema watanzani walivyo wasahaulifu, ndani ya wiki tu litasahaulika
Ingekuwa enzi za JPM labda, ila Kwa maisha ya sasa lazima atafutiwa mashtaka.Sio kwa serikali ya Samia,huyo lazima ashtakiwe tu,sema watanzani walivyo wasahaulifu, ndani ya wiki tu litasahaulika