Arusha: Ally Bananga arudi CCM kwenye mkutano wa Rais Samia Suluhu

Huyu alikuwa arudi muda mrefu ni aibu tu ndio zilikuwa zinamzuia, kila akiropoka upuuzi wake watu wanamuangalia tu wanasema huyu hana maana, ametongozwa na kina Msando na yule jambazi aliehukumiwa jana siku nyingi na bia zao akanywa hakuwa na jinsi.
Karudi mikono mitupu au na chochote
 
Huyo ndio Komredi Ally Bananga Mwatiga nimjuae💪

Mzee wa kazikazi enzi zileee za CCM STAMINAZ na akina Komredi James Ole Millya👍

SIEMPRE CCM

NCHI KWANZA
 
Ni kawaida sasa mtu anaishi kwa kumtegemea mkewe unadhani atafanyaje?!
 
Huyu KWa Chadema ana effect yoyote,
 
Marioo hawezi kua na maamuzi bila mkewe kuamua,umarioo umekolea mama kapewa ubunge lazima jamaa ajidondoshe
 
Hamna la ajabu hapo hilo lilitarajiwa, karudi alikotoka kama tu wale wenzie wengine wengi...
 
Huyu ilijukana tangu zamani kuwa atafanya hivyo, hasa alipoanza kumtegemea mke wake kupata chakula.

vipi mkeo ukifubaa leo ataleta hata ya msosi siku mbili,au ndio tunazika hapa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanafiki na wasaliti hawajawahi kua salama
 
Mama ameahidi kumtumia..na wana ccm wameitikia kwa shangwe.

Vetting paper ishaanza kuwa circulated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…