ARUSHA: Askari Polisi 7 waliombambikia pembe za ndovu Prof. Justin Maeda na kuchukua milioni 100 wafukuzwa kazi, Profesa afunguka

Utakuwa unakaa kwa prof.Mwaikambo.Unamjua Masorogo?
 
Afande Jumanne,kwenye kesi ya kubambika ya Mbowe ali husika na keshafukuzwa kazi.
 
Duh hao polisi walimgusa mtu ambaye hawakumjua, Prof huyo lazima atakuwa na connection.

Sasa polisi hao wamembambikia nyara hizo ili wamtemeshe pesa dah.

Ova
Kazi ya Sabaya na Afande Jumanne
 
Toka pale walipo ingia tu hawa inchi ikawa kweshinei imeharibiwa mnooo na inaendelea kuharibiwa tu
 
Duh hao polisi walimgusa mtu ambaye hawakumjua, Prof huyo lazima atakuwa na connection.

Sasa polisi hao wamembambikia nyara hizo ili wamtemeshe pesa dah.

Ova
mtu kakaa mpaka ikulu alafu unambambikia kesi😂 ,mzee hata hapo kawahurumia yeye ilikuwa ni simu moja tu anapiga ikulu
 
Aisee!
 
hapa namtetea sabaya,hakubaka ila walikuwa wanampa wenyewe tu,nasikia wengi wao ni wanachuo
 
Kuna watu wengine viherehere sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…