Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina watoto? Kwani kuna daftari la usajili la wanachama wenye watoto humu? Mbona una harisha kupitia mdomo wako wakati makalio unayo? Vipi wewe?! We ukitandikwa nusu ya kufa hutakiri hata kama ni uwongo?Vipi kama wamekiri kuyauza na wenzao wakatoa ushahidi. Na vipi kama waliokamatwa wamekiri kununua madawati kutoka kwa watoto hao. Kwanza wewe huna mtoto, unajua malezi ya watoto?
Ww hujui Arusha watoto wa darasa la saba wanavuta bangi na hao form1 kuiba wala sitilii mashaka kwasababu ya mienendo ya kihuni ya watoto wa Arusha, na kuhusu walinzi naweza nikawatetea kwasababu kwanza shule nyingi za government hapo Arusha wanalinda wazee 60+Wanafunzi wa kidato cha kwanza? Hao mnawasingizia tu, walinzi wa shule na walimu ndio wameyaiba, msitufanye wajinga
Wamechapwa bakora ngapi kwa kuruhusu huo wizi? Waliruhusu vipi watoto wa form 1 wakaingia na fuso shuleni kuiba madawati 108? Au waliiba kwa kutumia mitutu ya bunduki?Ww hujui Arusha watoto wa darasa la saba wanavuta bangi na hao form1 kuiba wala sitilii mashaka kwasababu ya mienendo ya kihuni ya watoto wa Arusha, na kuhusu walinzi naweza nikawatetea kwasababu kwanza shule nyingi za government hapo Arusha wanalinda wazee 60+
Hivi mzee baba unawafahamu hizi mbara rara za chuga? Usiombe ukutane nazo ManWanafunzi wa kidato cha kwanza? Hao mnawasingizia tu, walinzi wa shule na walimu ndio wameyaiba, msitufanye wajinga
Hizi shule za elimu bure zinatia simanzi sana, mpaka DC ana mamlaka ya kumchapa mwanafunziMkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.
Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.
Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.
Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.
Chanzo: Mwananchi
DC kawachapa viboko laini sanaHizi shule za elimu bure zinatia simanzi sana, mpaka DC ana mamlaka ya kumchapa mwanafunzi
Walinzi na walimu wamechapwa bakora ngapi kwa kuruhusu watoto wa form 1 kuingiza fuso shuleni?Hivi mzee baba unawafahamu hizi mbara rara za chuga? Usiombe ukutane nazo Man
Wewe nae ..!Wamechapwa bakora ngapi kwa kuruhusu huo wizi? Waliruhusu vipi watoto wa form 1 wakaingia na fuso shuleni kuiba madawati 108? Au waliiba kwa kutumia mitutu ya bunduki?
Wachapwe ndio,si ndio utaratibu huo au? na hilo fuso liliingiaje hapo, au hao wazee ni viziwi, au walisukuma hilo Fusi?Wewe nae ..!
Umeambiwa asilimia kubwa ya walinzi ni wazee.
Na tunajua wazee wengi wamechoka na kukosa umakini
Utawachapa wazee umri sawa na baba yako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mzee baba unawafahamu hizi mbara rara za chuga? Usiombe ukutane nazo Man