Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mkuu si amekataa self ukiwa kazini
Huyu DC anafanya Nini hapo[emoji849]
Huyu DC anafanya Nini hapo[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara mkuu wa Wilaya, hapo hapo anatajwa kama mkuu wa mkoa, tushike lipi?Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.
Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.
Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.
Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.
Chanzo: Mwananchi
Huyu dogo nae kwa sasa anataka misifa.Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.
Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.
Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.
Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.
Chanzo: Mwananchi
umewahi kuwa mwalimu wa shule yoyote??Wanafunzi wa kidato cha kwanza? Hao mnawasingizia tu, walinzi wa shule na walimu ndio wameyaiba, msitufanye wajinga
umewahi kuwa mwalimu wa shule yoyote??Madawati 108 yaibiwe na wanafunzi wa kidato cha kwanza? kuna kitu hakipo sawa hapa wakajazie nyama tena hii tuhuma..
🤣 🤣 🤣Wanafunzi na wanunuzi wote wamekula fimbo
Hao watoto wamepakaziwa kesi tu wala sio kweli, walinzi wanahusika sana na mkasa huu, maana kama wako lindoni wanawezaje kuruhusu uhalifu utokee then baadaye ndipo wajifanye wamegundua upungufu wa madawati?Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.
Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.
Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.
Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.
Chanzo: Mwananchi
Soma vizuri uelewe. Watoto hawajabisha kuiba na ndio maana wazazi wao wameshuhudia watoto wakila fimbo. Umesikia mzazi yeyote akibisha kuwa wamebambikiwa kesi? It means wanawajua watoto wao kuwa ni wasumbufuHao watoto wamepakaziwa kesi tu wala sio kweli, walinzi wanahusika sana na mkasa huu, maana kama wako lindoni wanawezaje kuruhusu uhalifu utokee then baadaye ndipo wajifanye wamegundua upungufu wa madawati?