Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

Mkuu si amekataa self ukiwa kazini

Huyu DC anafanya Nini hapo[emoji849]
 
Wanafunzi na wanunuzi wote wamekula fimbo
 
Attachments

  • VID-20201217-WA0004.mp4
    12.6 MB
Kama uliwahi kuwa Good Student, we kaa kimya tu. Tuache wenyewe tunaojua hii mipango kitambo
 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.

Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.

Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.

Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.

Chanzo: Mwananchi
Mara mkuu wa Wilaya, hapo hapo anatajwa kama mkuu wa mkoa, tushike lipi?
 
Ati walinzi waligundua wizi baada ya kubaini madawati kupungua. Mlinzi na darasa wapi na wapi? Kama mlinzi amegundua madawati yanapungua, yeye ndie anayeyapunguza, la sivyo si rahisi kujua kila darasa lina dawati au wanafunzi wangapi.
 
Kosa lile lile alilofanya chalamila wa mbeya na huyu nae anafanya Tena hivi Hawa ndugu huwa hawajifunzi maana Kama mwanafunzi ana mamlaka lizilo juu yake ambazo yeye anawajibika kwazo Sasa walimu wa shule husika wanafanya Nini Kama yeye anataka kuwawajibisha wanafunzi Siku yake mtaona wanaenda kuchoma wagonjwa sindano kisa tu daktari kachelewa kufika kushughulikia mgonjwa

Afu na nyinyi chama cha walimu mynaachaje huu upumbavu unatokea na kudhalilisha taaluma yenu
 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.

Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.

Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.

Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.

Chanzo: Mwananchi
Huyu dogo nae kwa sasa anataka misifa.
 
Madawati 108 yaibiwe na wanafunzi wa kidato cha kwanza? kuna kitu hakipo sawa hapa wakajazie nyama tena hii tuhuma..
 
Sinoni hatari sana kuna denti alishawahi kuniibia na hakuna mtu hata mmoja aliyembaini mpaka alipoonekana na mali mtaani
 
Kuna vilaza humu hawajasoma uzi na kuelewa. Wanakomaa "waliwezaje kuiba madawati 108 eti waliyebabaje" Mwingine anasema kabisa "walibeba kwa fuso?"

Uzi unasema "madawati 108 kwa nyakati tofauti"

Inaweza kuwa awamu 20 au 40
 
Sinoni hatari sana kuna denti alishawahi kuniibia na hakuna mtu hata mmoja aliyembaini mpaka alipoonekana na mali mtaani
 
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.

Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano ambao tayari wamekamatwa na polisi.

Akizungumza leo Jumatano Desemba 16, 2020 wakati akiwaadhibu watoto hao mbele ya wazazi wao na wanafunzi, mkuu huyo wa Mkoa amesema madawati hayo yana thamani ya Sh10 milioni na kwamba watakaohusika kuhakikisha yanapatikana mengine ni walioyanunua pamoja na wazazi wa wanafunzi hao.

Mkuu wa shule hiyo, Nteles Lorna amesema walinzi wa shule walibaini wizi huyo baada ya kuona madawati yamepungua.

Chanzo: Mwananchi
Hao watoto wamepakaziwa kesi tu wala sio kweli, walinzi wanahusika sana na mkasa huu, maana kama wako lindoni wanawezaje kuruhusu uhalifu utokee then baadaye ndipo wajifanye wamegundua upungufu wa madawati?
 
Soma vizuri uelewe. Watoto hawajabisha kuiba na ndio maana wazazi wao wameshuhudia watoto wakila fimbo. Umesikia mzazi yeyote akibisha kuwa wamebambikiwa kesi? It means wanawajua watoto wao kuwa ni wasumbufu
 
Clip nliyoiona ikizunguka kwenye whatsapp inaonesha kuwa waliocharazwa mboko tatu tatu, siyo wanafunzi. Wanadai ni hao wanunuzi wa scrapper ndio waliotandikwa.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Kiongozi wa kisiasa wa Arusha Khenan Kihongosi ambaye alikuwa MATAGA toka Iringa amevunja katiba ya nchi , kanuni za utumishiwa umma na pia uhuru aliopigania Nyerere mwaka 1961 ambapo mkoloni alikuwa akiwachapa Watanganyika.

Katiba inakataa kumwadhibu mtu bila kudhbitishwa na Mahakama, Sheria ya viboko inataka mtu apimwe afya kabla ya kuchapwa, Ila hawa wachapa-kazi wameamua kujichukulia madaraka juu ya katiba na sheria nyingine kudhalilisha watu.

SABAYA huko HAi anafanya atakavyo na hakuna wa kuhoji, mambo shaghala bhaghala, kavunja mashamba ya Mbowe na mengine mengi na hakuna anayemkemea, ila wananchi wanaumia tu moyoni.
.
 
Back
Top Bottom