Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kwamba watu wengi hawamjui RC wa Arusha yule mzee kwaajili ya upole wake au DC wa Arusha mjini alishapandishwa cheo akawa RC Arusha mimi ndo sina taarifaKatika hali isiyo ya kawaida , Rc wa Arusha Khenan Kihongosi ambaye alikuwa MATAGA toka Iringa amevunja katiba ya nchi , kanuni za utumishiwa umma na pia uhuru aliopigania Nyerere mwaka 1961 ambapo mkoloni alikuwa akiwachapa Watanganyika.
Katiba inakataa kumwadhibu mtu bila kudhbitishwa na Mahakama, Sheria ya viboko inataka mtu apimwe afya kabla ya kuchapwa, Ila hawa wachapa-kazi wameamua kujichukulia madaraka juu ya katiba na sheria nyingine kudhalilisha watu.
SABAYA huko HAi anafanya atakavyo na hakuna wa kuhoji, mambo shaghala bhaghala, kavunja mashamba ya Mbowe na mengine mengi na hakuna anayemkemea, ila wananchi wanaumia tu moyoni.
.
Ungekuwa na huo ujasiri usingetumia fake id humuNa hata waliopigwa nao tatizo tu. Mi nisingekubali, bora wanipige risasi ila si dharau hizo
Alitaka kuwapiga wachaga wa mabasi kwa bashite style ile ya madawa Ili avute pesa,eti wameharimu reli baada ya kuwapanga watu wake feki akakuta mamangi waliwahi mjini kabla yake akaumbukaSabaya amefanya jambo gani la kudhalilisha hai? Amevunja mashamba ya mbowe??
Mapimbi Kama nyie ndo mnapigwa hovyo na kurushwa vichura na wapenda sifaUngekuwa na huo ujasiri usingetumia fake id humu
Mkuu mbona unachanganya madesa, kwenye kichwa cha uzi unasema DC ndani ya uzi unasema RC.Katika hali isiyo ya kawaida , Rc wa Arusha Khenan Kihongosi ambaye alikuwa MATAGA toka Iringa amevunja katiba ya nchi , kanuni za utumishiwa umma na pia uhuru aliopigania Nyerere mwaka 1961 ambapo mkoloni alikuwa akiwachapa Watanganyika.
Katiba inakataa kumwadhibu mtu bila kudhbitishwa na Mahakama, Sheria ya viboko inataka mtu apimwe afya kabla ya kuchapwa, Ila hawa wachapa-kazi wameamua kujichukulia madaraka juu ya katiba na sheria nyingine kudhalilisha watu.
SABAYA huko HAi anafanya atakavyo na hakuna wa kuhoji, mambo shaghala bhaghala, kavunja mashamba ya Mbowe na mengine mengi na hakuna anayemkemea, ila wananchi wanaumia tu moyoni.
.
Ni Mataga tu wanaoweza kupingwa viboko .Na hata waliopigwa nao tatizo tu. Mi nisingekubali, bora wanipige risasi ila si dharau hizo
Ok, wewe mjanja mbona unatumia fake id?Mapimbi Kama nyie ndo mnapigwa hovyo na kurushwa vichura na wapenda sifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa umesema hakuna wa kumuhoji si ukamhoji sasa wewe hapo
Subiria shughuli yangu ikitokea nimeingia 18 zaoOk, wewe mjanja mbona unatumia fake id?
Na hata waliopigwa nao tatizo tu. Mi nisingekubali, bora wanipige risasi ila si dharau hizo