Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

Sasa umesema hakuna wa kumuhoji si ukamhoji sasa wewe hapo
 
Katiba na sheria za nchi kuvunjwa kwa ukaidi mchana kweupe, siku hizi ETI inasemwa na 'waimba mapambio' kuwa ndio UTHUBUTU.
 
Na hata waliopigwa nao tatizo tu. Mi nisingekubali, bora wanipige risasi ila si dharau hizo
 
Katika hali isiyo ya kawaida , Rc wa Arusha Khenan Kihongosi ambaye alikuwa MATAGA toka Iringa amevunja katiba ya nchi , kanuni za utumishiwa umma na pia uhuru aliopigania Nyerere mwaka 1961 ambapo mkoloni alikuwa akiwachapa Watanganyika.

Katiba inakataa kumwadhibu mtu bila kudhbitishwa na Mahakama, Sheria ya viboko inataka mtu apimwe afya kabla ya kuchapwa, Ila hawa wachapa-kazi wameamua kujichukulia madaraka juu ya katiba na sheria nyingine kudhalilisha watu.

SABAYA huko HAi anafanya atakavyo na hakuna wa kuhoji, mambo shaghala bhaghala, kavunja mashamba ya Mbowe na mengine mengi na hakuna anayemkemea, ila wananchi wanaumia tu moyoni.
.
Hivi ni kwamba watu wengi hawamjui RC wa Arusha yule mzee kwaajili ya upole wake au DC wa Arusha mjini alishapandishwa cheo akawa RC Arusha mimi ndo sina taarifa

Au makamera na makiki amekua kama ndo RC
 
Sabaya amefanya jambo gani la kudhalilisha hai? Amevunja mashamba ya mbowe??
 
Alitaka kuwapiga wachaga wa mabasi kwa bashite style ile ya madawa Ili avute pesa,eti wameharimu reli baada ya kuwapanga watu wake feki akakuta mamangi waliwahi mjini kabla yake akaumbuka
 
Katika hali isiyo ya kawaida , Rc wa Arusha Khenan Kihongosi ambaye alikuwa MATAGA toka Iringa amevunja katiba ya nchi , kanuni za utumishiwa umma na pia uhuru aliopigania Nyerere mwaka 1961 ambapo mkoloni alikuwa akiwachapa Watanganyika.

Katiba inakataa kumwadhibu mtu bila kudhbitishwa na Mahakama, Sheria ya viboko inataka mtu apimwe afya kabla ya kuchapwa, Ila hawa wachapa-kazi wameamua kujichukulia madaraka juu ya katiba na sheria nyingine kudhalilisha watu.

SABAYA huko HAi anafanya atakavyo na hakuna wa kuhoji, mambo shaghala bhaghala, kavunja mashamba ya Mbowe na mengine mengi na hakuna anayemkemea, ila wananchi wanaumia tu moyoni.
.
Mkuu mbona unachanganya madesa, kwenye kichwa cha uzi unasema DC ndani ya uzi unasema RC.

Nani ni nani na kamchapa nani na wapi viboko.
 
098765.jpg
 
Na hata waliopigwa nao tatizo tu. Mi nisingekubali, bora wanipige risasi ila si dharau hizo

Nafikiri jamaa akilwenda na askari kwa hiyo kukawa na utisho fulani. Mimi nisingekubali, bora kufa vitani!
 
Waliotandikwa ni Watanzania basi, unaposema watu wa kaskazini maana yako ni kutaka kusema nini?

Mambo ya ukanda yasiwe na nafasi ktk nchi maana tunatakiwa tujitambulishe kwa Utanzania wetu.
 
Back
Top Bottom