Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

Kuna raia zimepinda aisee dah!

Hii nguruwe ni ya kufukuza kazi straight away yaani na hakika tunahitaji sana adhabu ya viboko irudi kwenye jamii
Mm nashangaa watu wanapinga adjabu ya bakora zifike hd maofisini inapobidi
 
Nimeshtuka kweli yaani, kumbe haukuni include?
Hahaha hapana mkuu
.nimegeneralise. tunakuza tu mambo. Huyo keshaenda zake tumuombee sua njema. Lakini umaskini wetu isiwe sababu ya kutaka mwingine aharibikiwe aisee.
 
Kama ni kweli basi ni unyama sana. Sioni shida Kwa kwenda huko na marehemu ila masikitiki yangu ni Kwa ndugu waliokalishwa kumsubiri dereva amalize kuangalia Mpira ndipo waendelee na safari. Au usikute dereva na ndugu hao walikubaliana na wote walienda kuangalia mpira ila mleta mada kaamua tu kuileta ktk namna hiyo. Mana ndugu wenyewe amesema walikuwa wachache tu
 
Wanakuza tu mambo mkuu
 
Wanasema kuona maiti au mazishi ni ukumbusho yakuwa duniani tunapita maawaidha tosha ama kweli huyo ni mpofu kuanzia macho,maskio,akili, imani na mengineyo sio mzima.
 
Huyo ni binadamu kama wewe,amefanya kosa kwa mujibu wa taarifa yako
Ungeenda na kumuuliza kwanini amebeba maiti na kuiacha nje huku yeye akiwa bar akijibu sivyo makofi
Mimi ningefanya hivyo kumaliza mgogoro na police wangefika
Kuna watu hawana utu
 
Asa jaman mtu si amekufa huyo , ukweli ni kuwa mazishi yasingefanyika usku , jamaa kaona hii sa moja na nusu achek game mana atafika tuu mda mwafaka , imekuwa nongwa duuh
Mbona tukiwa na zile coaster Huwa tunasimama pale Mombo watu wanakula vyombo na maiti tunayo au shida ni kwamba hapa ameshuka dereva pekee,kulia watu wakiondikewa na mpendwa wao ni kawaida tu siyo ajabu au walikuwa wanakia dereva ameshuka kaingia bar?
Nongwa Haina maana jamani.
 
Matatizo mengi katika hii nchi ni matokeo ya malezi mabovu.
Kama mleta mada amesema ameonana na wanafamilia wakiwa nje wanalia basi inawezekana ni kweli, maana kama walipita bar kupata chakula basi wangeingia wote.

Dereva ama ana malezi mabaya au ameharibikia ukubwani, ni bakora tu.
 
Taarifa hii haina proof/evidence ya kuthibitisha kwamba hapo ni Sakina Bar.

What if dereva alipaki kwa dharula sehemu nyingine yoyote (tofauti na Bar)? mfano kupata chakula, mahitaji, n.k.

Kwa picha tu hizo, nani anaprove kwamba hapo kweli ni Sakina Bar?

Mtoa taarifa huyo angepiga picha angle zote za eneo hilo kuonesha uhalisia. Pia angechukua kavideo clip ingefaa zaidi.

Kama taarifa hii ni genuine kwa uhalisia kabisa, basi dereva huyo ni wa hovyo sana na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa umma.

-Kaveli-
 
Kama umewahi kusafiri na msiba bhasi utaelewa Huyu dereva amepark hapo Kupata huduma flani then waendelee na safarii na sio Huo uongoo wa kusema aliacha waombolezaji akaenda kuangalia mpiraa ni Uongoo.
 
Kama umewahi kusafiri na msiba bhasi utaelewa Huyu dereva amepark hapo Kupata huduma flani then waendelee na safarii na sio Huo uongoo wa kusema aliacha waombolezaji akaenda kuangalia mpiraa ni Uongoo.
Ulikuwepo eneo la tukio?
 
Hapa ndo utaona akili za wabongo...mtu wanaweza kumfungaa kumbe ametuhumiwa..ivi unamshambuliaje mtu huna ushahidi..iv tunaamini vip kama hapo ni bar?unahukum vp kablaa kuskiza upandee wa pili..daah
 
Kama umewahi kusafiri na msiba bhasi utaelewa Huyu dereva amepark hapo Kupata huduma flani then waendelee na safarii na sio Huo uongoo wa kusema aliacha waombolezaji akaenda kuangalia mpiraa ni Uongoo.

Yes, nami nahisi hivyo hivyo. Walipaki sehemu kupata huduma fulani kisha safari iendelee.

Hii taarifa ina harufu ya majungu na unaa dhidi ya dereva husika.

"Dereva alipaki Sakina Bar, akawashusha waombolezaji, yeye akaingia Bar kunywa na kucheki mechi ya EPL" ...

halafu eti ushahidi wa shutuma hii ni hizo picha mbili !!!

Kwa picha hizo, nani aweza thibitisha kwamba hapo ni Sakina Bar?

-Kaveli-
 
Kama umewahi kusafiri na msiba bhasi utaelewa Huyu dereva amepark hapo Kupata huduma flani then waendelee na safarii na sio Huo uongoo wa kusema aliacha waombolezaji akaenda kuangalia mpiraa ni Uongoo.
Riki boy on the wheeel. Wengine wanapiga mboyoyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…