Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

Malisa kanishangaza sana. Kanishangaza mno. Yaan alishindwa vipi kuhojiana na jamaa kabla ta kuileta public. Huo ni uchonganishi tu
 
Labda marehemu nae alikuwa mlevi alafu msicomplicate mbona wachaga gari wanakula gambe sana ndo safari inaendelea mpaka marehem anafika,
 
Lakini hata ninyi wanaume wa Arusha mnastahili lawama, mlishindwaje kumuonya au kumvutia nje na kumlamba bakora?
Alichofanya dereva hakijawekwa bayana tumekazana kulaumu na kuhukumu tu. Mathalani huku kwetu Kaskazini esp.Uchagani, suala la kusafirisha maiti halafu katika safari hiyo gari likapark mahali pa kupumzika sio geni/jipya - ni kawaida sana. Labda niweke wazi zaidi kwamba hata kunywa ni kawaida kabisa hakuna shida. Mbona hata huko watakakofikisha mwili wa marehemu watapokelewa kwa kinywaji? halafu inafaa mjue kwamba huku Uchagani, kama una msiba, usipoweka pombe(Mbege, bia etc) hupati watu wengi wa kukusaidia kumhifadhi marehemu na kuomboleza. Zingatieni kwamba Vifo huku ni vingi na tumeshazoea kusikia habari za msiba leo huku, kesho kule, pale etc.(ni wachache sana wanaozingatia habari za Imani linapokuja suala la msiba.)
Samahani kama nimewakwaza baadhi yenu.
 
Asa jaman mtu si amekufa huyo , ukweli ni kuwa mazishi yasingefanyika usku , jamaa kaona hii sa moja na nusu achek game mana atafika tuu mda mwafaka , imekuwa nongwa duuh
Akifariki mtu wako wa karibu gariblikapaki bar muendelee kucheki game sawa dogo
 
Inaeleweka ila kwa taarifa ilivyotoka kama ni kweli si sahihi maana aliekwenda bar kucheki mechi ni dereva wafiwa wapo nje wanaendelea kuumia ingekua wote wameamua kula beer hapo sawa hata njia panda mara kibao tunasimama kula na wengine kunywa ila wapo wasiotaka hayo mambo. Na tunahukumu kwa hisia tu huenda kulikua na sababu za msingi na mleta habari akawaza vibaya
 
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana. Mbona hatujifunzi jamani? Mtu anaandika vizuri lakini mwishoni anamalizia kwa kutaka hiyo hiyo serikali inayosababisha matatizo iyaondoe.... da...
 
Labda marehemu nae alikuwa mlevi alafu msicomplicate mbona wachaga gari wanakula gambe sana ndo safari inaendelea mpaka marehem anafika,
Huo ndo Ukweli hata kama ni mchungu. Tutakaa kulia-lia mpaka lini na misiba /upitishaji wa miili ya marehemu/maiti unaendelea na inapitia pale Njia panda ya Himo kila siku? Hiyo ni Fursa kwa wenye mahoteli na bar eneo hilo.
 
Khaa?

Huyu dereva atakuwa anavuta bangi.

Na hao wenye bar walimruhusu vipi kupaki gari lenye maiti.
Kwani maiti kitu gani? Si ni mfu tu anaenda kuzikwa au? Yaani,kisa maiti ya watu,abanwe kucheck mpira kama anaupenda. Mbona hawajakodi wakabeba wenyewe sasa
 
Naam. Hiyo nimeipenda broo.
 
Kuna ubaya gani kupark pembeni ya hotel kula msosi na kuondosha woga wa safari kwa kunywa serengeti moja au mbili?
Kuna ubaya gani?
Una hakika dereva alikuwa amekula kabla ya safari?
Unaujua umbali wa huko aendako?
Una matatizo ya brain si bure
 
Mwambie malisa aache unoko. Anamchomea utambi huyo dereva ili afukuzwe kazi, yeye malisa atapata faida gani?
 
Sisi tutajua kama kweli ni bar hapo !!??

Hata kama ni baa, huko ndani ya jeneza muhusika yumo tayari ndani????

Sisi tutakuamini vp, je labda unavisa na dereva wa gari ONESHWA hapo juu???

: MKAZANE MAISHA MAGUMU 😆
Wewe umekazana Hadi wapi? Hebu rudia kusoma post yako hasa mstari wa pili na WA tatu huenda hapo timamu.
 
Maiti mwenyewe katulia,unajuaje hajamruhusu dreva kucheck mechi na kupooza koo nda safari iendelee? Kwa hiyo,wewe ndo imkuuma zaidi ya walokuwa nae?
 
Wewe umekazana Hadi wapi? Hebu rudia kusoma post yako hasa mstari wa pili na WA tatu huenda hapo timamu.

Kakazane na familia yako mkuu, mnaleta habari chonganishi, wapi katika picha hiyo kuna bar hapo!!??

Humo ndani ya jeneza kwani umeona maiti au unakaza shingo tu??

Baadhi ya madereva mnanjaa sana za kuchomana!!
 
Siyo kila kitu inaokota mitandaoni unaleta hapa.

Kuna uthibitisho gani wa kusema hapo ni Sakina Bar?
 
Hii kali ya mwaka!!??
 
Uchunguzi wa kina ufanywe, kama ni kweli sio majungu, nitashangaaa sana kuona bado yuko kazini
 
Hiyo ni nje ya kazi, kwanza magari ya serikali sio ya kufanyia vitu binafsi, huyo dereva wakupewa onyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…