Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Sasa km ndo hivyo, si waache kusukumwa nyama wanapata raha gani? Lol
 
Mamlaka zinazo ajira haswa kwa nafasi nyeti kama za Mahakimu au Majaji lazima ziwe makini kujua mwenendo wa mtu na tabia yake kabla ya kuajiriwa.
Hii ni hatari kubwa sana.
 
Sasa starehe za watu, wee inakuhusu nn? Wee na mpenzi wako nani anawapiga chabo? Na hizo picha unafanyia nn ukishamaliza kutazamaaa?

Ushoga mnaupendaaa eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe na mwenzako bichwa komwe,mmepata shemela wakili[emoji23][emoji23][emoji23]
Nna mashemeji zangu halisi, ndugu zake na Ba tamuu, huyo hakimu hata hanihusu.

Wako wanaofanya hayo wa mjengoni, ndo ajabu wakili hata yeye ana hisia take [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina walakini kwasababu aliyehusika ni BENSON, ingekuwa muhusika ni ABDALLAH wala usingeona uwalakini
Mkuu nguvu,

Wewe umeleta udini, ila mimi sipo huko.

Huyo mungu mwenyewe nikikuambia uthibitishe yupo utabaki kuzunguka.
 
Wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, na alio soma nao chuo wana mambo yao pia, hana mda wa kuhangaika nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…