Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Mambo yenu ya kilevi na kishetani wala hayafai kuletwa kwenye jukwaa hili.
Nyinyi walevi hakuna uchafu ambao ni ajabu kuufanya kwenu.
Tokeni zenu hapa.Ndio maana adhabu zenu kwa waislamu ni kali sana ili kusiwe na hadithi za kijinga jinga kama hizi.
 
Kwakweli maswali mengi sn haiingii alilini
 
Jamaa mbooh imesimama akafungua mlango,,, kaka mtu akaogopa akaenda kuita watu.... Watu wakaja wakamchomoa ndani wakili msomi na akavuliwa shati na suruali akabaki na boxer huku mbooh bado imesimama
 
Unaposema hakuna kesi unamaana gani mkuu? Kwamba wanaume kuingiliana kinyume na maumbile sio kosa?
Mkuu,unakuwa mgeni na kesi kama hizi nchi hii
Kuna watu walisokomezwa chupa ikaisha,kuna yule kule zenji tena alikuwa anafilw live kaachiwa
Huko zenji nako yule jamaa anaitwa kringo alikuwa anamlawiti sana dogo
Kaachiwa
Moshi au arusha kna mfanyakazi wa benki nayo alikamTwa kwa issue hizi za kumla mtaro jamaa kaachiwa
Kesi zote zina8shia juu kwa juu
Ndomana nasema hii kesi huko mbeleni itaisha juu kwa juu

Ova
 
Aisee.

Bodaboda ni laana.

Yaleyale ya chamazi bodaboda kulawitiwa na mzungu.
 
Akagonga mlango na hakimu akafungua akidhani jamaa hatajua. Jamaa akaingia na kuita watu ambao alikuwa ameshawaandaa na kumweka hakimu kwenye ulinzi.

Kwa hiyo ndio Hakimu afungue mlango akiwa hana chupi na mashine kadindisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…