Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha .
Hakimu huyo , ambaye pia ni wakili unaweza kumuona kwenye mfumo wa mawakili, ameacha uwakili hivi miaka ya karibuni na kuwa hakimu.

Kwa mujibu wa chanzo cha Habari wilayani humo,tukio hilo limetokea jana majira ya saa tatu na saa nne usiku nyumbani kwa kijana huyo ambaye hufanyakazi ya kuendesha pikipiki maarufu bodaboda katika eneo la Wasso.

Mtoa taarifa alifafanua kwamba Hakimu huyo ambaye hivi karibuni alihamia kikazi,alionekana majira ya mchana akiwa na kijana huyo na baadaye jioni walienda kunywa pombe nyumbani kwa kijana hiyo ambaye ànaishi chumba kimoja na sebule

Alisema ilipofika majira ya usiku kaka yake na kijana aliyelawitiwa (jina linahifadhiwa) alifika katika nyumbani kwa mdogo wake na kumkuta mdogo wake wakiwa na hakimu wakiendelea kunywa pombe aina ya Safari huku hakimu ndiye aliyekuwa akimnunulia kijana hiyo.

Taarifa inasema kwamba majira ya saa tatu usiku Hakimu alimtuma kaka yake na huyo kijana kwenda kuchukua chakula na wakati aliporejea alikuta mlango umefungwa na kuamua kugonga

"Baada ya kugonga Hakimu alienda kufungua mlango lakini chaajabu alionekama sehemu zake za siri zikiwa Imesimama ndipo kaka yake aliposhtuka na kuamua kuingia chumbani kwa mdogo wake kujua kulikoni na kumkuta akiwa amelala kitandani kifudifudi akiwa utupu hajitambui"alisema mtoa taarifa.

Alisema baada ya tukio hilo aliamua kutoa taarifa kwa watu mbalimbali ndipo hakimu wenzake na mtuhumiw walifika Eneo la tukio na baadaye polisi walikuja na kumkuta kijana hajitambui kitandani na baada ya kumwamsha na kuzinduka alihisi maumivu sehemu zake za haja kubwa ndipo askari hao walipomtia nguvuni mtuhumiwa .

Kijana huyo alipelekwa katika hospitali ya Wasso kwa matibabu na taarifa za daktari zimethibitisha kuwepo na michubuko sehemu za haja kubwa pamoja na mbegu za kiume.

Taarifa zinadai kwamba hakimu hiyo alikuwa na mazoea na kijana hiyo kutokana na kumtuma mara kwa mara ikiwemo kumsafirisha kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kutumia pikipiki yake .
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justin Masejo alipotafutwa alisema bado hajapata taarifa ila anafuatilia tukio hilo na atatoa taarifa.
Eti hakimu akaenda kufungua mlango huku mnara uko full?😂😂
 
"Baada ya kugonga Hakimu alienda kufungua mlango lakini chaajabu alionekama sehemu zake za siri zikiwa Imesimama ndipo kaka yake aliposhtuka na kuamua kuingia chumbani kwa mdogo wake kujua kulikoni na kumkuta akiwa amelala kitandani kifudifudi akiwa utupu hajitambui"alisema mtoa taarifa.

Alisema baada ya tukio hilo aliamua kutoa taarifa kwa watu mbalimbali ndipo hakimu wenzake na mtuhumiw walifika Eneo la tukio na baadaye polisi walikuja na kumkuta kijana hajitambui kitandani na baada ya kumwamsha na kuzinduka alihisi maumivu sehemu zake za haja kubwa ndipo askari hao walipomtia nguvuni mtuhumiwa .

Kwamba hakimu kagongewa mlango na kaufungua huku akiwa uchi, mashine imesimama na aliyemfunguliwa mlango ni kaka wa dereva boda...

Kwa hiyo ilibidi wasubiri hadi kijana wa bodaboda azinduke, halafu awaambie kwamba uwemba wake una maumivu makali, then ndipo hakimu atiwe nguvuni...

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii stori...huyo mtoa taarifa naye apimwe marinda
 
Hawo walikuwa Wana mahusiano mbona. kaka wa mwathirika ndie alikuwa hajuwi kama wako na mipango Yao. Hii taarifa Ina ukakasi kiasi maana hawo askari walitoka wapi ghafla hivyo.
 
Mkuu mkorinto,

Kwa kusema ni wapenzi naweza kukataa, si jambo rahisi kumtuma mtu chakula sehemu ya karibu halafu uende muende kufanya uchafu mkitegemea kwamba mtamuwahi mtu huyo asiwakute au?
Lakini pia stori inakosa mtiririko mzuri.

Lakini pia kwanini kijana akutwe ajielewi? Yaani mtuhumiwa aweke madawa kijana asijielewe akitegemea kwamba muda aliyomtuma kama mtu atakuwa kijana huyo kashaamka?
Mawazo yangu: Hakimu alikuwa na uhusiano na mwendesha boda na alishamfanya siku za nyuma. Mwendesha boda ni yale mapunga yanayopandishwa ashki kwa kulewa kabla ya yazibuliwa. Kaka mtu alipata hii taarifa hivyo akafanya mtego. Siku ya siku, hakimu akaanza action kwa kumpa bodaboda safari kama kawaida. Kaka mtu alipotumwa, akajifanya anakwenda lakini akarudi mapema na kusikilizia. Akasikia shughuli imeanza chumbani. Akagonga mlango na hakimu akafungua akidhani jamaa hatajua. Jamaa akaingia na kuita watu ambao alikuwa ameshawaandaa na kumweka hakimu kwenye ulinzi.
 
Hawo walikuwa Wana mahusiano mbona. kaka wa mwathirika ndie alikuwa hajuwi kama wako na mipango Yao. Hii taarifa Ina ukakasi kiasi maana hawo askari walitoka wapi ghafla hivyo.
Kuna mapunga mengi hupenda kunywa pombe mpaka yazimike ndipo yafanywe. Yaani akiwa mzima anaona vigumu kuzibuliwa, hivyo anatumia pombe na kulewa chakari kabla ya action. Inawezekana huyo jamaa wa boda ni mmojawapo, na kaka yake alishajua hivyo akandaa mtego.
 
Mkuu Tayana,

Ulishawahi kufanya kitu halafu baada ya kukifanya unashangaa nimefanyeje hichi kitu mimi?!!

Hufikirii labda kulikuwa na dawa zingine walizotumia ambazo huenda akili isiwe sawa?

Hata mimi nashangaa kwanini alifungua mlango.

Ila kuna situation unaweza kufanya vtu halafu bado unabaki kama umepigwa butwaa imekuwaje
Hii ni kweli kuna dawa flani mtu akikuwekea kwenye kinywaji unawehuka. Hujui ufanyacho
 
Back
Top Bottom