kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
SahihiWalikua wapenzi hao....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiWalikua wapenzi hao....
Mbrrrrrr
Hakika Mkuu. Lakini, ngoja tuone itakavyothibitishwa mahakamaniPole sana mawakili wasomi Pascal Mayalla Petro E. Mselewa kwa tasnia yenu kupakwa matope
Kwahiyo ni tabia yake?Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi aliyelawitiwa kasema kwenye mahojiano kwamba hii ni mara ya 3 kulawitiwa na Hakimu Ngowi.
Kwahiyo kilichomtoa huko ndio skendo hio hio?Unawaza kama mimi, atakuwa ametaua marinda ya wengi sana, Alihamishwa Karagwe na kuletwa Arusha kwa skendo hizo hizo sema Judiciary ilikuwa inamlinda sana.
Ewaa!Kwahiyo kilichomtoa huko ndio skendo hio hio?
Aki hao ni wapenzi, ila dogo kamzalilisha bro ake sana kiukweli sie tuliopitia cuba ningewawahisha kuzimu kimya kimyaninachokiona hapa ni,kaka wa anayeitwa mhanga kutofurshishwa na hali aliyoikuta nyumbani kwa mdogo wake.hao ni wapenzi sema bro kajua jana kwa kuwafuma🙈🙈🙈
Aise huo ni ushoga kumbuka muosha naye uoshwa just matter of timeHakuna inye tamu na ya moto kama ya mlevi wa Konyagi.
kafa kiume tena!!!kwamba alipambanaSasa huyo kidume aliyeliwa ndy kafa kiume sasa [emoji1][emoji1]..
Huyu askari alikuwa anagida sana pombe. Miaka ya 2016 nilikuwa namwona sana mahakama ya kinondoni.
Aliyelawiti miaka 32 na aliyelawitiwa miaka 29.Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Loliondo,Benson Ngowi(32) anashikiliwa na jeshi la Polisi katika kituo cha Loliondo,Wasso kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Wasso wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.
Hakimu huyo, ambaye pia alifanya kazi ya uwakili kwenye Kampuni ya mawakali[ jina ni la kiswahili ila hapa naandika kwa kingereza wewe utafsiri JUSTICE FIRST ] ni wakili unaweza kumuona kwenye mfumo wa mawakili, ameacha uwakili hivi miaka ya karibuni na kuwa hakimu.
Kwa mujibu wa chanzo cha Habari wilayani humo,tukio hilo limetokea jana majira ya saa tatu na saa nne usiku nyumbani kwa kijana huyo ambaye hufanyakazi ya kuendesha pikipiki maarufu bodaboda katika eneo la Wasso.
Mtoa taarifa alifafanua kwamba Hakimu huyo ambaye hivi karibuni alihamia kikazi,alionekana majira ya mchana akiwa na kijana huyo na baadaye jioni walienda kunywa pombe nyumbani kwa kijana hiyo ambaye ànaishi chumba kimoja na sebule
Alisema ilipofika majira ya usiku kaka yake na kijana aliyelawitiwa (jina linahifadhiwa) alifika katika nyumbani kwa mdogo wake na kumkuta mdogo wake wakiwa na hakimu Benson Ngowi wakiendelea kunywa pombe aina ya Safari huku hakimu ndiye aliyekuwa akimnunulia kijana hiyo kwa mshahara wake wa January.
Taarifa inasema kwamba majira ya saa tatu usiku Hakimu alimtuma kaka yake na huyo kijana kwenda kuchukua chakula na wakati aliporejea alikuta mlango umefungwa na kuamua kugonga.
"Baada ya kugonga Hakimu alienda kufungua mlango lakini chaajabu alionekama sehemu zake za siri zikiwa Imesimama ndipo kaka yake aliposhtuka na kuamua kuingia chumbani kwa mdogo wake kujua kulikoni na kumkuta akiwa amelala kitandani kifudifudi akiwa utupu hajitambui" alisema mtoa taarifa.
Alisema baada ya tukio hilo aliamua kutoa taarifa kwa watu mbalimbali ndipo hakimu Benson Ngowi wenzake na mtuhumiw walifika Eneo la tukio na baadaye polisi walikuja na kumkuta kijana hajitambui kitandani na baada ya kumwamsha na kuzinduka alihisi maumivu sehemu zake za haja kubwa ndipo askari hao walipomtia nguvuni mtuhumiwa.
Kijana huyo alipelekwa katika hospitali ya Wasso kwa matibabu na taarifa za daktari zimethibitisha kuwepo na michubuko sehemu za haja kubwa pamoja na mbegu za kiume.
Taarifa zinadai kwamba hakimu hiyo alikuwa na mazoea na kijana hiyo kutokana na kumtuma mara kwa mara ikiwemo kumsafirisha kutoka eneo moja kwenda jingine kwa kutumia pikipiki yake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justin Masejo alipotafutwa alisema bado hajapata taarifa ila anafuatilia tukio hilo na atatoa taarifa.
Update 5-2-2024
#Taarifa zinasema Benson Ngowi alikuwa Wakili kwenye kampuni moja Dar es salaam na baadae kuamua kuwa hakimu ambapo alipangiwa Karagwe na kuhamishwa kwa makosa ya kinidhamu kama hili la Arusha.
Mzee Rau Madukani umenikumbusha mbali sana kisa cha Kina Hassan Kasheku, Adamu na Kina Mohamed BwireHuyu askari alikuwa anagida sana pombe. Miaka ya 2016 nilikuwa namwona sana mahakama ya kinondoni.
Pale rau Madukani akina Ibra Shayo wamepanunua pote.Huyu askari alikuwa anagida sana pombe. Miaka ya 2016 nilikuwa namwona sana mahakama ya kinondoni.