Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

That's the point sasa kibiashara ukiweka coaster aisee itakuwa loss tupu kumbuka hizo hiace nyingi ni zile zenye four wheel ambazo ni shark ni ngumu sana kwa mazingira ya chuga zinafaa ukileta hiace ya kawaida lazima ilale ndani ya miezi sita.
Weka coaster chache.

Kuna bajaj na bodaboda nazo zinakuwa zinasaidia.

Dar kuna coaster chache ila bajaj, bodaboda, uber, bolt, mwendokasi zote zinatoa huduma ya kusafirisha abiria na bado hizo costa zinajaza.
 
Weka coaster chache.

Kuna bajaj na bodaboda nazo zinakuwa zinasaidia.

Dar kuna coaster chache ila bajaj, bodaboda, uber, bolt, mwendokasi zote zinatoa huduma ya kusafirisha abiria na bado hizo costa zinajaza.
Aisee coaster hatalipa mie nafanya biashara ya hizi huduma
 
Hiace za ndessa ndo kdgo zko sawa zingine kawaida Sana hata mziki hamna
Well, turudi kwenye mada tu. Uwepo wa aina ya magari inategemea na aina ya wafanyabiashara maana sio za serikali. Hata wakiwalazimisha sanasana utaishia mgomo ambao utaathiri usafiri kiujumla.

Wenye uwezo wa kuleta coaster waweke then may be with time hiace zitaondoka zenyewe tu kama ilivyokuwa Dar hiace ziliisha zenyewe
 
Wanatumia Sienta pia kusafirisha abiria!
Pigeni Coster Mayai zisanye abiria. Arusha hamstahili vigari vya Malawi, Malawi ndo muwaachie hivyo vigari vya watoto wa vidudu...Malawi wanatumia Nissan Vanette na ninyi chuga mnawaiga hawa.
 
Sio kwamba zinaisha zenyewe inshu Ni kuamua tu Kama wanahitaji coaster ndo zipige daladala mjin kinachofanyika Ni kila hiace leseni yake ya biashara ikiisha hamna kupewa nyingine hii inakulazim mmiliki uondoe Gari yako kwa hiari tu
 
Mbovu kuliko Kimara-bonyokwa?

Vipi kuhusu nje ya mjini?

Town-Tengeru-USA-maji ya chai -kikatiti
Bado wanahitaji vile vidude vya kujikunjia?


Ukweli ni nyumbani kwetu ila kila nikifikiria usafiri inaboa:
Wa hio ruti ya USA ikifika usiku wanaambiwaga ruti inaishia Tengeru.
 
Kuna dhana potofu kuhusu Arusha kuitwa 'Geneva ya Afrika'. Sio kwa uzuri au mandhari yake, maana Afrika kuna miji ni mizuri mara 100 ya Arusha. Sasa, kwa nini iliitwa 'Geneva'? Ili kujua, ni lazima kufahamu Geneva ina sifa gani; sifa kubwa, ni moja ya miji michache sana duniani (handful) yenye makao ya taasisi muhimu za kimataifa wakati sio makao makuu ya nchi, kama vile ilivyo NYC. Na pia ina taasisi nyingi (za kimataifa) zisizo na za kiserikali, na zile zinazoshughulikia masuala ya amani. Kwa Arusha, ni hivyo pia, angalau. Rais Clinton alipokuja mwanzoni mwa milenia alitembelea Arusha kwa sababu za kiamani, mazungumzo ya amani ya Burundi. Na hapo ndipo alipoisifu Arusha kuwa 'Geneva ya Afrika' akasema,

"Kwa hivyo namshukuru [Rais Mandela], nawashukuru OAU na, Mheshimiwa Rais, uko hapa leo. Nawashukuru viongozi wa mkoa; pamoja na Marais Museveni na Mkapa, Rais Moi, Rais Kagame, Waziri Mkuu Meles kwa kazi yao. Nashukuru Taasisi ya Nyerere, Jaji Bomani, Jaji Warioba na ninawashukuru watu wa Tanzania kwa kutukaribisha hapa katika jiji ambalo limekuwa Geneva ya Afrika, shukrani kwa wengi wenu."

Kwa hiyo wakati mwingine maneo 'Geneva ya Afrika' yanapokujia usifikiri kuhusu uzuri, fikiri kuhusu amani na nafasi ya Arusha kwenye usuluhishi haswa kwenye eneo la maziwa makuu.
 
Baridi
 
truely sp
truly speaking, japo naishi Arusha lkn ni jiji la kishamba sana linapokuja swala la usafiri wa umma, vipanya tena vipank everywhere. Ni vigumu kuelewa kwa sifa za Arusha na hali halisi ya usafiri.
Mimi wakati naishi huko nilikuwa naonaga ni poa tu ila nilivyotoka nakenda Mbeya na Mwanza nikagundua Arusha ni jiji ambalo linatabia za kimanispaa ni kama hawakuwa tayari kuwa jiji. Kwa kweli Mwanza ni jiji bora sana.
 
Kabisaaa kwenye upande wa public transportation Arusha wapo nyumaaa nilishangaa sana jiji kubwa hivi linatumia vihiace vya short roof hadi aibu geniva ya africa ondoeni izo ndude zenu usa mjini ni mbali tu hata intel hadi mjini au kisongo mjini root ndefu zipo tu sema bado hawajaamua kuvitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…