Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

Jiji la Arusha halina stand ya bus kubwa za kwenda mikoani.

Hakuna hata stand ya kueleweka ya hizo vifodi.
Kabisa jamaa wanashusha na kupakia abiria barabarani, sio poa
 
Mbeya walitaka kugoma serikali ya mji ikakomaa kwa kusema 'kama hutaki kununua coaster elewa tu ifikapo tarehe so and so vi-hiace marufuku ' na walipewa muda wa kutosha na ikawezekana....kuboresha miji serikali za miji sio kila wakati zinatakiwa kuachia hiari ya business people itawale wanapaswa kutumia mamlaka ambae hataki ataachia wenzake wale faida....kusikiliza sana wafanyabiashara ndio kunakotugharimu sasa hivi machinga wanapanga biashara hadi kwenye mstari mweupe wa lami kwenye miji yetu.

Maana ya serikali ni 'Mamlaka'...itumie mamlaka yake.
 
Arusha mji mdogo, sawa hiace ni uchafu lakini wakiweka Coaster kuna gari zitalala hazijapata kitu, Arusha mtu anaweza tembea toka Kimandolu mpka town na jasho hatoki hasa wakati huu wa baridi, from Sakina to town hivyo hivyo, hizo Coaster zitatoa wapi abiria?

Route za Coaster Arusha ni zile za town to Usa, Katiti, Tengeru, kule mbele ya Sakina nimepasahau jina kwa wamasai, na kule kwingine uwanja wa ndege mbele napo nimepasahau jina, labda na njiro kidogo, kwingine kote nilikuwa natoboa kwa mguu enzi zangu.

Wacha hiace ziendelee kuwepo kutokana na jiografia ya eneo na wingi wa abiria, muhimu ziwe zile ndefu, hata kusimama abiria asipate shida, na akikaa asikunje magoti mpaka yaume.
 
Aisee coaster hatalipa mie nafanya biashara ya hizi huduma
Inashindwaje kulipa?

Dar kuna route fupi sana, mfano Makumbusho - Posta, pale ni kama km 5 au 6 ila kuna coaster tu na zinajaza. Hapo hujaweka uber, bolt, bajaj n.k.

Coaster 1 sawa na viford 2. Kwahiyo kama route 1 ina voford 100, coaster 50 zinatosha.

Watu wana haki ya kusafiri kwenye vyombo visafi na kwa starehe, sio kujibana kama wanacheza yoga.
 
Waweke deadline ya miezi 6 hizo hiace zisionekane katikati ya mji.

Utaziona coaster zinaanza kuletwa.
 
Mimi wakati naishi huko nilikuwa naonaga ni poa tu ila nilivyotoka nakenda Mbeya na Mwanza nikagundua Arusha ni jiji ambalo linatabia za kimanispaa ni kama hawakuwa tayari kuwa jiji. Kwa kweli Mwanza ni jiji bora sana.
Ubora uko wapi?
 
Yes aisee yaani ni vingi tena vile vipanya sio hiace za high roof, high roof chache. Vipanya short roof Mbeya waliachana navyo miaka ya 2000s mwanzoni; Arusha wanatuangusha sana.
Vikiwa na quality ni vizuri, Pretoria na Jo'burg wanatumia kama vya rchuga
 
Vikiwa na quality ni vizuri, Pretoria na Jo'burg wanatumia kama vya rchuga
Tatizo kudhibiti quality na ule udogo na hivi sie watz tunapenda kusafiri na mifugo wetu na matenga ya nyanya inakuwa changamoto.
 
Hahahaha Homme Sweet Homme [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarudi aise nimepamiss Sana.
#Singapore[emoji630][emoji630]
 
Yaani wewe kukaa Chuga miaka 3 ndio ubishane na mzawa?Haina paringi arifu.

Aisee chalaa angu hebu kula ngusu Kwanza hapo,afu rudi Tena hapa Ila kitu cha makushabu usiguse.

Iandikie hioooo.
Ni kweewisee arreeff[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arusha swala la usafiri ni Utopolo mtupu, ukikaa shida kusimama ndo usiseme,kwanini wasilete hiace ndefu na Safi ka za Moshi,vihiace vibovu na vimechafuliwa na machata. Arusha tu yenyewe haifai kuwa jiji maana ni ndogo na unplanned
 

Na kuna ubabe wa kifala watoto wa uswahilin bondeni..yaan a town inahitaji miaka 20 mingine..iache ukabila pia
 
Hivo viford n vya kijinga yani Kwanza
N tudogo huez kaa Kwa Aman huez smama vizur na wanajazana huko mpaka unakosa pa
Kujigeuzia aloooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…