Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

Huyu watamuavhia nadhani kuna.kiti hatuijui kumpeleka mahakamani. To me wanataka kumsafisha for more madaraka in days to come
 
Tayri imeota mbawa..
Imeahirishwa hadi 15/20/2021
Hapo ndipo huwa nachoka mahakimu wetu.
Au hukumu ina andikiwa kutoka juu??
 
Tayri imeota mbawa..
Imeahirishwa hadi 15/20/2021
Hapo ndipo huwa nachoka mahakimu wetu.
Au hukumu ina andikiwa kutoka juu??
Ameshinda tayari, ukiona hairisha hizi ujue tayari
 
Nasikia kesi ya Sabaya imehairishwa, ukiona hivi ujue kashinda kunakuwa na kigugumizi kutoa uozo kuhofia reaction ya watu........ wana beep ili watu waanze ku absorb shock taratibu maana watakuwa wameshakuwa sensitized kuwa the unlikely is happening
 
Tayri imeota mbawa..
Imeahirishwa hadi 15/20/2021
Hapo ndipo huwa nachoka mahakimu wetu.
Au hukumu ina andikiwa kutoka juu??
Msaada Mkuu,

Sijaelewa imeahirshwa Hadi lini vile....!
 
Nasikia kesi ya Sabaya imehairishwa, ukiona hivi ujue kashinda kunakuwa na kigugumizi kutoa uozo kuhofia reaction ya watu........ wana beep ili watu waanze ku absorb shock taratibu maana wameshakuwa sensitized kuwa the unlikely is happening
Arudishwe Hai akapinge kazi DC makini Sana kule mbowe analiwa mvua ya kutosha

USSR
 
Kwanini lakini baadhi yenu mnatumia neno H mbele ?
Inakera kwa mtu anaejua kusoma na kuandika halafu unaandika kwa makusudi kabisa

Au ni lugha mpya
 
Kada mwenzako huyo

Kada akiwa jinga kiwango cha Sabaya sio kada kabisa, hata CCM haimtaki milele, huyo ni jambazi. Ujue hadi anafikishwa mahakamani ni kwamba CCM na Serikali yake ndio imempeleka, utaona jinsi CCM na Serikali yake ilivyomkataa na kumtia adabu, na hii case ni funzo kwa makada wengine wanaodhani ukiwa CCM utajifanyia kufuru ya madaraka, na ikumbukwe ni serikali ya CCM iliyompeleka mahakamani na inayomtia adabu Sabaya.

Huyo sio kada wa CCM, ni jambazi alijificha kwa ukada wa CCM. CCM haina wapuuzi wa hivi naapa. Asulubiwe, asulubiwe goligota kabisa.
 
Kwanini lakini baadhi yenu mnatumia neno H mbele ?
Inakera kwa mtu anaejua kusoma na kuandika halafu unaandika kwa makusudi kabisa

Au ni lugha mpya
sijakupata, kwenye Hairisha? sijui kama ni hivyo nawambia mods warekebishe.. aishisha au hairisha, more eleboration please
 
Wewe jamaa unatafuta ban kwa kasi sana

USSR
 
Wenye bar Hai wekeni stock yakutosha, dogo alilamba mvua za kutosha mtauza sana.
 
Hii kesi ya kupora elfu 35 analipa fidia tu lakini ile ya uhujumu uchumi amelala yooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…