Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Hilo ndilo gari lililomtoa mahabusu yeye na wenzake mpaka mahakamani? Ndivyo watuhumiwa wote hua treated hivyo?

Okay, sio mbaya, kubwa zaidi watanzania tunataka haki itendeke, na moja kati ya vitu vioneshavyo mahakama kutenda usawa pasi na upendeleo ni pale ambapo kunakuwa na nafasi ya kuweza kutabiri matokeo ya hukumu kwa kesi husika.

Hili pia liwe fundisho kwa viongozi hasa vijana kwamba cheo ni dhamana tu.

IFANYE TANZANIA KUWA YA AMANI
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Alichokosea badala ya kuipigania Tanzania ye akawa anaipigania CCM,ukiipigania CCM lazima uharibu tu
 
jamaa anatamani JPM afufuke hata sahizi
Kwakuwa aliwaaminisha kuwa ukatili unalipa. Aliwahi kutamka hadharani kuwa yeye huwa hajaribiwi. Yuko wapi sasa? Angalia alvyowaachia wafuasi wake mateso makubwa.

Yaani Saambaya leo anaamkia lupango bila kuchana nywele wala kunawa uso badala ya Gran Melia pembeni akiwa na Binti Mrembo?? Ndugai kama una akili jifunze kitu hapo. Acha kiburi cha madaraka.
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Duh!
 
Kabisa mkuuu
 
Mbona wazee wa escrow walichuchumaa
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
You must be sick upstairs....
CCM ndo ilimtuma...??
Nyie ndo wale akina uvccm waliosema safari hii Lissu haponi mtatumia sindano...
Era ya katili mwenzenu gone . ..
Malipo hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…