Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Wasiwasiwa gu asijinyonge TU mahabusu
Kamahaliile ajahukumiwa akihukumiwa atajinyonga

#kingsabby hahahaha
 
Binafsi naona hizi ni kama Speculations na Negativity Conspiracies bila Tangible evidences against Huyu jamaa
Nakubaliana na hili.

Maana humu mitandaoni kuna watu wa kila aina.

Mwingine hata akinyimwa unyumba na mkewe anakuja kufokea watu mitandaoni.

So many lunatics on internet.
 
Hili liwe fundisho kwa kila MTU.
Hiyo nafasi uliyo nayo kumbuka umepewa na MUNGU ili uwasaidie watu wake. Sasa ole wako utumie nafasi hiyo kuwanyanyasa watu wake, hakika wakimlilia MUNGU hutokosa adhabu. NI heri ulaumiwe kwa ajili ya haki kuliko kushangiliwa kwa ajili ya kudhulumu Kama Sabaya.
Na alaaniwe yeyote amtegemeaye mwanadamu na huku moyo mwaka qmemwqcha MUNGU.
 
Sabaya yupo mikononi kwa watu sahihi hilo halina ubishi lakini serikali aitakiwi kupeleka vinywaji kwenye sherehe ya walioumwiza.

Jukumu la serikali ni kumchukulia hatua za kisheria, sio kutengeneza mazingira ya kumdhalilisha kama kwenye hizo picha.
unamjua Lugemalira? Singh yule Singa? unajua utaratibu wa mahakamani hapo wewe ukiwa mtuhumiwa wewe? yaani unataka kujustfy wananchi wa kawaida wakiwa wanapelekwa mahakamani huwa wanaonewa>?? kupigwa pingu na kichura chura chuchumaa chini? Tafadhali let us be impartial tusiweke hisia, mchizi namjua vizuri sana movie zake tangu SJUT ila kwa sasa tunapiga kimya mamlaka ifanye kazi yake.
 
Inawezekana alijifanya mchapakazi ,na akatumia kitu km mwavuli wa kufichia maovu.
 
Mimi nahisi kuna chuki binafsi kuanzia kwenye uongozi wa juu..sio bure...kwa sababu kwa namna linavyoengelewa hili swala na ushaidi uliopo haviendani kabisa...mimi sijawahi kuona clip akimnyang'anya mtu pesa au kuvamia nq kuiba
 
Fuatilia hanari,amesomewa mashtaka sita,ikiwamo uhujumu Uchumi,Rushwa,na unyang'anyi wa kutimia silaha
Halafu si nilisikia siku moja kwamba haya mashitaka ya uhujumu uchumi huwa ni ya kubambikizwa!? — Mpaka Samia akataka watuhumiwa wote waachiwe huru.

Na wengi wenu mlikuwa mnalalamika humu kiasi kwamba mkataka Biswalo afukuzwe kazi!

Au neno kubambikizwa huwa linategemeana na muktadha?

Akibambikizwa hasidi wako ni sawasawa, ila wakibambikizwa nduguzo inakuwa si sawa?
 
Wewe ni mwendawazimu, hebu tulia acha kutetea ujinga
 
Kifo cha mama Kabendera kitakutafuna milele
 
... na ukiwa mtenda HAKI huwezi kulaumiwa labda na dhulumati na lawama za dhulumati ni BARAKA! Tenda HAKI ubarikiwe duniani na Mbinguni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…