Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio yule baunza wake wa tatu au mkewe?
Nakubaliana na hili.Binafsi naona hizi ni kama Speculations na Negativity Conspiracies bila Tangible evidences against Huyu jamaa
unamjua Lugemalira? Singh yule Singa? unajua utaratibu wa mahakamani hapo wewe ukiwa mtuhumiwa wewe? yaani unataka kujustfy wananchi wa kawaida wakiwa wanapelekwa mahakamani huwa wanaonewa>?? kupigwa pingu na kichura chura chuchumaa chini? Tafadhali let us be impartial tusiweke hisia, mchizi namjua vizuri sana movie zake tangu SJUT ila kwa sasa tunapiga kimya mamlaka ifanye kazi yake.Sabaya yupo mikononi kwa watu sahihi hilo halina ubishi lakini serikali aitakiwi kupeleka vinywaji kwenye sherehe ya walioumwiza.
Jukumu la serikali ni kumchukulia hatua za kisheria, sio kutengeneza mazingira ya kumdhalilisha kama kwenye hizo picha.
Huu wivu mbona wa ajabu sana?
Si ajabu huko Tanzania kumejaa wachawi.
Kila baada ya nyumba moja kuna mchawi nyumba inayofuatia.
A witchcraft-infested country.
Nani kakudanganya????Mkuu umesahau mama hawezi mgusa msukuma yeyote atacheza na hao masai na makabila mengine ila sukuma gang akiwagusa hata watu 10 tu hana uraisi
Watu aliokuwa akiwapa amri ya kuchuchumaa chini leo wao ndiyo wanamwambia achuchumae chini na makofi juu.
Unyang'anyi wa kutumia silaha?!Mashtaka 4
1. Matumizi mabaya ya ofisi.
2. Uhujumu uchumi.
3. Unyang'anyi wa kutumia silaha.
4. Rushwa.
Tatizo lako unaongea kama umekalia kitu chenye ncha kaliMimi ni mume wako, baunsa haruhusiwi kutumia mitandao kwa sasa.
Halafu si nilisikia siku moja kwamba haya mashitaka ya uhujumu uchumi huwa ni ya kubambikizwa!? — Mpaka Samia akataka watuhumiwa wote waachiwe huru.Fuatilia hanari,amesomewa mashtaka sita,ikiwamo uhujumu Uchumi,Rushwa,na unyang'anyi wa kutimia silaha
Wewe ni mwendawazimu, hebu tulia acha kutetea ujingaKwa muda sasa nimekuwa nikisikia tuhuma mbalimbali zikielekezwa kwa huyu mtu anayeitwa Ole Sabaya — Mkuu wa Wilaya ya Hai (by then).
Sijui ni ugoigoi wangu huu ama elimu duni niliyonayo inayonifanya nisielewe hasa kiini cha jinamizi linalomuandama huyu mtu?
Mwanzoni, nilikuwa namfahamu sabaya kama Kijana jasiri, shupavu, anayejiamini, na aliyefanya kazi chini ya falsafa madhubuti za Rais Magufuli za uchapa kazi na uwajibishaji wa mafisadi yaliyoitafuna nchi hii.
Kwa kadiri ya vyombo vya habari vilivyomripoti, alikuwa anaonekana ni kiongozi anayeshughulikia ujambazi kwa wakati mwingi - eg, ukamataji wa madawa ya kulevya, mabangi, fedha bandia nk...
Zaidi ya yote, alionekana ni kiongozi aliyehusika kwa kiwango kikubwa kukipaisha chama cha mapinduzi na kukiweka kwenye chati, huku akiwashughulikia wapinzani kwa namna za hapa na pale.
Hivi karibuni, baada ya Rais Magufuli Kufariki dunia, huyu Kijana amekuwa akizongwa na majinamizi yaliyoibuka kutoka pasipojulikana.
Kuna wale majasusi wa twitter (wenyewe wanaitwa Twirrah) ndio walikuwa vinara wa kuibua shutuma na tuhuma za hapa na pale.
Ukiachana na hawa majasusi uchwara wa twirrah, kulikuwa na jopo kubwa la multiple ID's Jamiiforums na kwenye mitandao mingine ambazo zilikuwa zinamuandama mpaka hapo aliposimamishwa kazi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hizi tuhuma za mitandaoni, kwa bahati mbaya, hazina ithibati yoyote.
Mimi binafsi huwa napenda kufuatilia mambo na kujiridhisha pasipo shaka kuhusu ukweli na uhalali wake. Sipendi kurukia rukia tu habari.
Kuna majasusi wengine kutoka twirrah wanasema sabaya kabaka wanawake mia mbili. Wengine wanasema sijui kalawiti makada wa chadema.
Stori zimekuwa nyingi sana bila ushahidi kuwekwa hadharani. Kila mtu anaibuka na lake.
Zamani nilisikia pia hata humu kuna majasusi (wanaitwa sijui TISS?) — Ningefurahi kama wangetujuza kwa hakika kuhusu tatizo alilonalo huyu mtu wa kuitwa Sabaya.
Kwa sisi wenye akili duni zisizoweza kuchambua mambo kwa ufasaha tumebaki kwenye mshangao bila kuelewa ni nini hasa tatizo!
Tunaangalia tu huko twirrah kila mtu anasema lake.
Kifo cha mama Kabendera kitakutafuna mileleKumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
PKaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...www.jamiiforums.com
Akijinyonga takuwa mjinga wa mwisho, bado kijana sana kw aumri wake, ana muda mwingi wa kujirekebisha.Wasiwasiwa gu asijinyonge TU mahabusu
Kamahaliile ajahukumiwa akihukumiwa atajinyonga
#kingsabby hahahaha
Yes, hio ndio maturityHaya advice taken.
👋
... na ukiwa mtenda HAKI huwezi kulaumiwa labda na dhulumati na lawama za dhulumati ni BARAKA! Tenda HAKI ubarikiwe duniani na Mbinguni!Hili liwe fundisho kwa kila MTU.
Hiyo nafasi uliyo nayo kumbuka umepewa na MUNGU ili uwasaidie watu wake. Sasa ole wako utumie nafasi hiyo kuwanyanyasa watu wake, hakika wakimlilia MUNGU hutokosa adhabu. NI heri ulaumiwe kwa ajili ya haki kuliko kushangiliwa kwa ajili ya kudhulumu Kama Sabaya.
Na alaaniwe yeyote amtegemeaye mwanadamu na huku moyo mwaka qmemwqcha MUNGU.
pascal mayala huyu huyu?Kifo cha mama Kabendera kitakutafuna milele