Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Mlishangilia sana kipindi cha Mwendazake sasa Kazi imeesnza.....Duh! Ila hii ndio njia nzuri ya kujenga vijana jeuri. Vijana waoga ndio hutii kila amri lakini sasa vijana watajifunza kuwa kuna matokeo kwenye kila anachofanya. Vijana wote, bila kujali vyama lazima uwe na mipaka badala ya kufikiri yupo mtu atakulinda daima.
Nenda kamtetee mahakamani.Amemuua nani?????
Kuna watu unaweza kukuta huko makazini kwao nao pia wanapiga hela ambazo sio za halali au hata kudhulumu watu ila na wao wapo kwenye hii thd wakishangilia mwenzao kupatikana na misuko suko!
Kila mtu ajitizame,je yeye ni msafi? Kabla ya kumnyooshea mwenzako kidole hakikisha kwanza wewe vidole vyako ni visafi.
Kila mtu atavuna anacho panda,kama sio hapa Duniani basi ni mbinguni siku ya hukumu.
alikuwa analindwa na jambazi mwenzakeMpuuzi kabisa huyo, walikuwa wanamlinda leo wanampeleka mahakamani
Unasemaje,rudia maneno hayo kama una maanisha ukisemacho.Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Hili nalo neno.....ila mi naamini siku zake zajaMambo juu ya mambo
Sio utani, tusilojua ni usiku wa giza. Mabeberu wanaweza kusogeza faili lake nene lililomfanya hata mwendazake amuone kaa la moto na kuamua kumuokoa ni amtose kwa kucheza ile movie kali kabisa ya Kigamboni 2020.
Siku zaenda mbio... Mwana mamaaa.... (Wimbo gani huo tena?).
Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Kabisa.Bado Makonda
Hili nalo neno.....ila mi naamini siku zake zaja
Very soon, hasa wamarekani watampush maza mpaka apelekwe The Hague
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Yupo ktk listi ya vikwazo, hawezi vuka mpaka watamdaka. Tegemeo lake lilikuwa la mwendazake lakini Mungu alimpenda zaidi, hivyo huyu Mkuu wa mkoa wa zamani yupo pekeyake hana mtetezi.https://www.thecitizen.co.tz › ta...
Tanzania's Paul Makonda barred from US for rights 'violations' - The ...
1 Feb 2020 — Summary · The US said the sanctions on Paul Christian Makonda, the Regional Commissioner of Dar es Salaam,
Yanawaingia basi?Hiyo picha ikutafakarishe mtu yeyote utakayeiona.
Tambua ya kuwa nafasi uliyonayo ni ya muda tu. Hata kama utaishikilia mpaka mwisho wa uhai wako, ipo mahali utalipwa kutokana na matendo yako.
Busara zikuongoze utende haki na muombe Mungu akusimamie.
Majivuni na ukatili hayana lolote bora la kulipalilia.
Jana ulikuwa ukiwaamuru polisi na kukupigia salute, leo wanakupigisha magoti na pingu mkononi.
Karma is the Universal law of Cause and Effect. You Reap what you Sow!!Karma is Real
Kwa hapo walipofikia tuwapongeze mkuu, miezi 6 iliyopita ilikuwa ni ndoto kuwaza jambo kama hiliHawa TAKUKURU wanaweza kuwasilisha ushahidi dhaifu halafu mwisho wa siku anaachiwa.
Namini la UBAKAJI alitakosa.Tubandikie hati ya mashtaka
Lakini si unakua umedhulumu mtu? Kuiba kwa siri na kuiba kwa dhahiri wote huo ni wizi tu na haukubaliki hata mbele ya Mungu.Mkuu kama unakula hela zisizo halali basi zile kimya kimya, siyo uzile kwa matambo na kujidai.