Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Ili usikimbie maana unakuwa huna pingu
 
Kwani Takukuru wanashindaga Kesi? Kwanza Katika Watu wanaotakiwa kufanyiwa legal accounting na Hawa Pccb, Wako very poor Kwenye prosecution.
Mkuu despite ya pccb kuna dpp humo coz. Criminal issues ni nyingi
 
Bwana Hamduni asiwe tu analipa kisasi, full stop. "Maana alipo walikuwepo wengine", the same thing can also hapen to him hasa kwa Nchi hii ambayo usafi au ubaya wa high profile citzens unategemea na nani yupo Magogoni.
Ndiyo maana wakati Sabaya anaingia bila shaka atakutana mlangoni na Harbinger Seth akitoka.
 
Leo sabaya ana pingu aiseee usimutegemee mwanadamu hata siku moja aliyemupa jeuri leo hayupo
 
Shetani ana maguvu sana Dunia hii !

yaani mafisadi wakitaka kitu lazima kitimie mpaka wakahakikisha Magufuli amesepa.

si mchezo...



mbona hawaweki wazi aliyoyafanya?
 
Bado Bashite sasa dadeki!
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Hata mwendazake kuna siku angeficha uso, amshukuru tu Mungu
 
Hawa TAKUKURU wanaweza kuwasilisha ushahidi dhaifu halafu mwisho wa siku anaachiwa.
Hata akiachiwa kwa udhaifu wa ushahidi. Fresh tu. Ila siku ya leo mahabusu wa CHADEMA na ACT aliowafunga Gereza La Kisongo lazima wapeane zamu ya kumpeleka kwa mpalange.

Hata akiachiwa kesho, heshima na ulemavu atakaobakia nao ni wa maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…