Neno haki haliko kwenye kamusi yako?Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Nyie ndiyo katika makuzi yenu hamjawahi hata kusukumwa na konda kwa daladala na misukosuko mingine katika maisha au hata kwenda kituo cha polisi kwa bahati mbaya. Unashangaa mtuhumiwa kuchuchumaa ? SmhHii Kuchuchumaa pia ipo kwenye sheria ?
Sio kwamba namtetea jamaa ila two wrongs does not make a right...., Huyu Jamaa adhibitiwe na kuhukumiwa kisheria na ikibainika sio tu kwamba achuchumae hata kama sheria inasema apigwe bakora na apigwe..., ila kabla ya hapo nadhani hii ni wrong precedent
Subiri kidogoHii ni haki yake maana ni jangili hili kama majangili mengine.
Mama kamfuta machozi MwambaKila mtu atavuna anachopanda
Sabaya sio raia mwema tena ni jambaziHata hivyo Mbowe siyo mbunge wa Hai tena.
CC: BashiteHiyo picha ikutafakarishe mtu yeyote utakayeiona.
Tambua ya kuwa nafasi uliyonayo ni ya muda tu. Hata kama utaishikilia mpaka mwisho wa uhai wako, ipo mahali utalipwa kutokana na matendo yako.
Busara zikuongoze utende haki na muombe Mungu akusimamie.
Majivuni na ukatili hayana lolote bora la kulipalilia.
Jana ulikuwa ukiwaamuru polisi na kukupigia salute, leo wanakupigisha magoti na pingu mkononi.
Yaani ww unaamini tatizo la Hai ni Mbowe?!!! Kumeri mmoja..Kazi yote aliyofanya Sabaya ya kumng'oa Mbowe pale Hai leo hii analipwa kwa kushikiwa "bastola" kama jambazi?
Aisee!!!!!
Mkuu umesahau mama hawezi mgusa msukuma yeyote atacheza na hao masai na makabila mengine ila sukuma gang akiwagusa hata watu 10 tu hana uraisiBado Makonda
Siyo kamusi bali kwenye nafasi yake hajui tofauti Kati ya uovu na haki.Neno haki haliko kwenye kamusi yako?
Habari ya kusuuzia moyo hii....Simara
Makiseo
Evelyn Salt
Nuzulati
Raynavero
Dinazarde
BAK
cocastic
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Dunia kigeu geu- FM AcademiaSiku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)
Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Na kupaukaaa juu!!!alikuwa na weusi fulani hivi wa kung'aa, wote kwishaaa, ila maisha haya jamani!!Amekonda ghafla pumbafu kabisa.
Kabla ujakubali kuwa kiongozi ni vyema kwanza uijue dunia ndipo ukubali kuwa kiongozi.Saddam na Gadafi awakuamini kuna siku wataokotwa mtaroniLife is going too quickly.. Yaani maisha yanaenda kasi sanaView attachment 1807966View attachment 1807968
Kwani ushajua anashitakiwa kwa Aina Gani ya Kesi Mpaka Akose Dhamama Mkuu?Hata akiachiwa kwa udhaifu wa ushahidi. Fresh tu. Ila siku ya leo mahabusu wa CHADEMA na ACT aliowafunga Gereza La Kisongo lazima wapeane zamu ya kumpeleka kwa mpalange.