Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Mnasemaga tu kwa sababu hamjaenda magereza, magereza hakuna uonevu Kati na mfungwa na mfungwa! Hata iweje!

Magereza watu wana stress zao Mingi sana Hakuna huo mda kabisa, saa 9 ndani na ni Mwenda wa kufuata utaratibu!

Pia huyu muhuni mle ndani lazima kuna wahuni kibao wanaofahamiana naye! Hata kuwa na shida sana!
 
Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
P
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Duh...
Kama wapo waliopata madhila toka kwa huyu jamaa,unawaumiza kisaikolojia sana
Simama palipo wazi na mpinzani,mshinde kwa hoja
Dola ya Sabaya imeanguka,waliomuheshimu wako na bunduki wakimtuhumu

Lkn kila 1 ana nafsi yake na kile kilicho sawa kwake
 
Makonda hapana na yuko salama kwan alitabiri mama kuwa VP kt bunge la katiba na akawa
Vipi bwana makonda au tunaangaliana usoni..

Vipi hawa wanaokula mabilioni ya pesa!! Walioshutumiwa kufanya ubadhirifu?
 
Nimeziangalia hizi picha ghafla huruma ikanijia sijui kwanini?? Kweli Dunia tuikajage taratibu.
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Ni kawaida wala hatushangai kwa ccm kuwapa mafisadi na majambazi tuzo za heshima maana ccm wote ni wakala wa shetani
 
Ficha upumbavu wako, huyo Sabaya kaumiza hata wanaCCM wenzie wengi sana.
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…