Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024.
TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu.
Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha kuridhishwa na utaratibu uliowekwa wa kuwawezesha kupata fursa ya kupiga kura.