Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 27, 2024 #1 Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha kuridhishwa na utaratibu uliowekwa wa kuwawezesha kupata fursa ya kupiga kura. Your browser is not able to display this video.
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha kuridhishwa na utaratibu uliowekwa wa kuwawezesha kupata fursa ya kupiga kura. Your browser is not able to display this video.
Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 27, 2024 Thread starter #2 Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha kuridhishwa na utaratibu uliowekwa wa kuwawezesha kupata fursa ya kupiga kura. Your browser is not able to display this video.
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha kuridhishwa na utaratibu uliowekwa wa kuwawezesha kupata fursa ya kupiga kura. Your browser is not able to display this video.
F Full Blood Picture JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 2,223 Reaction score 3,961 Nov 27, 2024 #3 Haya tuone sehemu zingine zikoje