ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Msiba ulikuwa wa kitaifa. Sasa hawa wenzetu vipi au wanabip,
Gambo Fanya Nazi yako hapa Nazi tu cyo kutafuta kiki,
Hao waandishi hawajajuwa kama msiba in wataifa zima weka ndani.
Hao viongozi was dini ndo walewale pia weka ndani na huyo meya kesho mahakamani.
 

Wewe ndo utalaniwa, acha kutetea upuuzi unaofanywa na huyo G wenu
 

Ha ha haaaa

Kwa mimi mwananchi najua vyama vya upinzani ndio namba moja kwa kudakia issue bila kuleta kipya cha kusaidia wananchi wala kuwaendeleza... mnaweka siasa bila kuhehimu wafiwa.

Hayo mengine unayoandika jifurahishe tu... nahisi na wewe lazima una kadi ya kijani kwenye wallet yako.

Msitumie misiba kutafuta kiki kuisema serikali ya awamu ya tano.

CIAO
 
Hawa nao shida tupu, hapa ndio namkubali malima hakuna kupewa lift hadi zimelia njugu, sasa unabebwa tu kienyeji, ingekuwa dar wangekuwa washapigwa jiti tayari.
 

Labda wangezipeleka izo rambirambi moja kwa moja kwa Gambo, ,,,,aisee, this is too much
 
waliochanga hawakuchanga kwa ajili ya catering, zimechangwa kwa ajili ya vijana wote walikatishwa maisha yao na lile basi. nyie si mnakata kodi zetu pelekeni huko kwenye catering, ungeona kama watu wangepiga kelele, ama kweli kufa kufaana,

Kwanini nyie mnaolalamika hamkuchangia wale na kuwaambia za rambirambi wafanyie mnayotaka!?

Mnalalmika huku hata senti hamkutoa.
 
sasa mbona unaiongelea?? Au hujui ukisemacho?? Au mnafiki kama wengine unasema huku humaanishi??

P.S: Naomba usitoke povu kama una ngozi ngumu!
 
mkuu sijui huu ubuyu. Magesa amefanikiwa kupata kazi kwa Shubash au ameendelea kuwa miongoni mwa vijana wasio na ajira
anaendelea kumpigia magoti patel amuajiri..muhindi una faida kwake unapokuwa na madaraka ya kumuwezesha kukwepa kodi,short of that hana habari nawe
 
Shida ya CCM ni kutetea hata kilicho oza
 


Sasa kumbe wamepewa lifti kwa kukimbilia kupata habari nyie mnaongea mengine ha ha haaaa

Mapaparazi wa Tanzania, wataanza kutunga uongo tunausubiri na nini kingine press conf. Na mlio na muda wa udaku mtawasikiliza...eeeeeh
 
Tuliposema utawala wa Magufuli ni wa kidikteta kuna watu waliona kama tunatania.
 
Nenda kawape Pole wazazi walofiwa wewe unaenda kuhani msiba nyumba isiyofiwa? Ukiitwa mwanga utakataa?
.

Si mgeagia kwa wafiwa pia kwani pale uwanjani ni nyumba ya walio fiwa? Pale shule walikusanyika ili event iwe moja maana wazazi wangekusanyika pale kma mlivo fanya uwanjani.....
 
Heee usikute rc gambo alitaka hiyo michango ipitie kwake apige panga kama zile rambi rambi aisee hivi wanatumia akili gani hao ka ma sio kumfanya rais aonekane mbaya mbele ya wananchi daah akipandacho mtu ndicho atakacho vuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…