Arusha: Mkuu wa Magereza Godson Mwanagwa akanusha Ole Sabaya kufanya vurugu gerezani

hivi kesi kama hii ndio mh rais aliombwa iwe inafanyiwa uchunguzi walau kwa miaka miwili?
 
usiseme raia sema wafuasi wa Mbowe wanaondandia utekelezaji wa utawala wa sheria wa SSH
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila watu mnamisemo ...kapinduka na gari la kiwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Bashite yuko wapi jamani??
 
NI kweli.
ILA MTU yeyote anaweza akapelekwa kule.uwe na hatia au usiwe nayo.
Sio sehemu ya kufurahia MTU kupelekwa
huwezi okota papai kwenye mti wa chungwa kamwe!
Matendo yako ndio maisha yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…